Комментарии:
Namfananisha na brenda fese ggi
Ответитьpole salama ,I hope you good.
ОтветитьPole dear ila muombe MUNGU akusaidie ili muwe pamoja na mama. Mama hua akosei
ОтветитьNimeumia sana mungu tusaidie tuwalee watoto wetu vyema dah
Ответитьwatu wanaweza kukugeuza kuwa mzuri au mbaya, mbaya sana,.. kujadili watu kwa ya sioyajua ni ulimbukeni, wasamehe, usiweke moyoni yatakuumiza...
ОтветитьNani amegundua gigi anact kulia 😂😂
ОтветитьChangamoto
ОтветитьSupa
ОтветитьSupa
ОтветитьNani akuzoee mtu usiejijua.
ОтветитьLove u girl Gigy my all time friend love girl
ОтветитьSasa ulikua hutaki kuchapwa nahusikii ndio mana alikua anakupiga punguza utundu kbisa
ОтветитьPole gigy😢
Ответитьsawa lkn
nakuombea dua ifike mahala gigy uingie kwenye biashara utulie uvae nguo za stara uwe mfanya mzuri usahau yote ndo dua yabgu kwako
salama usiwaulize maasi yao unawapatisha zambi nyote ni waislam ukifanya siri na Allah atakulipa siri haifai kuhadithia maovu yako
ОтветитьMama ni mama tu hakuna kama mama dada Gigy plz
ОтветитьNampenda sana gigy
ОтветитьReally we love that woman is verry strong woman💪
ОтветитьReally u mak me crying all night u are very strong woman but people is things wrong about you never give up I like u all my life my god make something good for gg money😭😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲
ОтветитьSalama amlinza concord giggy money 🤪🤪
ОтветитьSalama amekua siku hizi mpole balaaa
ОтветитьGigy mbona hamna bro hapo???🤣
ОтветитьWhat i like most ni gigy money ni rude and roughness fulstop,penda ww bureeeee
ОтветитьNachompendea Gigy anajiamini saaana.
ОтветитьI promise to hug Gift siku nikimuona😍😍
ОтветитьMimi nataka nabyaza wattsp zagigi
ОтветитьShe Needs help
ОтветитьNakuelew giggy daah ur life is like mine😢
ОтветитьGigy ni mreal mbaya
ОтветитьNever judge a person
Cause u don't the reason behind the curtain
😭
ОтветитьSijui niongolee tu au ila baridiii tu
ОтветитьPolee kpnz
ОтветитьYan hii moment ya Gig acha2 ila yote unayopitia ni mafunzo makubwa Kama ukiwa na akili
Ответитьyaaanii salama una kipindii kizuri siwezii kulala bila ya kutizama
ОтветитьMy favorit gigy
ОтветитьGigy sio muhun maishaa ndio yalokufanya hivyo
ОтветитьSitaki kumuhukumu Gigy, ila haya mambo yapo sana tu, mimi nimekuwa single mothe miaka 18, najua hii situation, Pole sana Gigy.
Ответить❤❤❤❤ nakupenda gigy
ОтветитьNimeangalia June 2023, aisee very educative, very emotional... I've learned a lot Salama
Ответитьme sio kahaba me sijiiuzi"who is here after her video of bj leaked
ОтветитьGigy ndio maana nakupenda saana kunavitu tunafanana sema wengine hatuwezi kuhojiwa tu komaa🎉🎉🎉❤❤❤
Ответитьmoja ya vitu nilivyojifunza kutoka Gigy Money ni kuwa muwazi na kujiamini katika kila jambo
ОтветитьIla gigy I love you ❤❤❤❤❤❤❤
ОтветитьGigy wow I understand you, girl you are a fighter, much love from this end, I wish you well. Seriously you can be too crazy at times. But it's all good
ОтветитьNakuelewa sana, mama angu alinitamkia atakaa aje akae na mim maisha yake yote, alionesha kumkubali dada angu sana alikua hana mategemeo na mimi but as we are speaking mimi ndio tegemeo na han pa kuish anaish kwang😢,,inaniumizaga mpka leo nikikumbuka maneno yake,, shootout for my dad he wqs there namkubali sana mzee wangu
ОтветитьNgiiii wangu mpenda sanaaaaa❤❤❤❤❤
Ответить