Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

Salama Na MARDHIYA SE6 EP47 | HIARI... PART 1 | SendTip MPESA LIPA NO 5578460

YahStoneTown

1 год назад

38,177 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@sassboy9360
@sassboy9360 - 27.12.2022 19:57

Mashallah kipindi kilikuwa hot sheikh katoa dawa kwa kugusia gusia tu ila jumbe zake zilikuwa kubwa tusome jamani tusifate mikumbo maana starehe tunafanya zahir ila tobaa mtu anafanya peke yake sasa ww endelea kufata watu

Ответить
@KSJ6569
@KSJ6569 - 28.12.2022 01:35

Mansh Allah 🥰

Ответить
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si - 28.12.2022 07:59

Ahsante shekhe ahsante salama Mungu awabariki

Ответить
@asmaal-shkiriy9518
@asmaal-shkiriy9518 - 28.12.2022 09:06

I love you salama nakuombea uendelee na hijabu umependeza sana shukran maridhiya kwani sasa malaika wanahudhuria ❤🙏

Ответить
@comics3437
@comics3437 - 28.12.2022 12:50

Umenenepa

Ответить
@mamuoman7849
@mamuoman7849 - 28.12.2022 15:18

Hivi salama kwanini kizungu kingi kuliko kiswahili.. OK nataka kujua na wenye lugha ya english huwa wanaongea lugha za wengin kwenye mahojiano ya nchi yao? Au huwa wanaongea kiswahili?

Ответить
@keifatuke99
@keifatuke99 - 28.12.2022 18:35

Ulimi umeteleza,zaidi ya mke mmoja

Ответить
@CSWafrica
@CSWafrica - 28.12.2022 23:52

Ni kinolewacho hupata si hukata

Ответить
@CSWafrica
@CSWafrica - 28.12.2022 23:55

Umeona ametokea unguja ndio maana umevaa shunngi..... ubaguzi huo, maana kipozeo alikuja hapo na hukuvaa. Fanya kwa ajili ya ALLAH

Ответить
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 - 29.12.2022 05:14

Mashaallah sheikh umeanzanza vizur umeongea vizur.

Ответить
@universitylink
@universitylink - 29.12.2022 09:16

Mashaallah mko vizuri

Ответить
@attiyakhalfan8027
@attiyakhalfan8027 - 29.12.2022 09:17

Mashaa Allah Salama umependeza sana. Ila sheikh fupisha maneno kaa!

Ответить
@abdulazizi2475
@abdulazizi2475 - 29.12.2022 10:48

Ni zahiri sisi viumbe tunaheshimu binaadamu wenzetu na wala hatumuheshimu muumba mbingu na ardhi kustiri kichwa kwa muislamu wa kike ni wajibu wake wakati wowote anapokuwepo na watu wengine leo hii stara ya kuchwa tunaifanyia maonyesho na kuzihirisha kuwa ni jambo la tabaka fulani
Ni msiba mkubwa

Ответить
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 - 29.12.2022 11:38

Ila Mardhyya🤭🤭🤣🤣🤣

Ответить
@rubbie_all_natural
@rubbie_all_natural - 29.12.2022 11:50

Shukran sana Sheikh… Hakika tumeletwa hapa duniani ili TUENJOY🔥🔥🔥🔥🔥

Ответить
@omarkombo3474
@omarkombo3474 - 29.12.2022 15:27

Pamoja na kwamba mimi binabsi nakukubali ila sio lazima shekh Salim Kila mtu akukubali wewe sio nabii ishi humo kaka.

Ответить
@user412
@user412 - 29.12.2022 17:46

Yaani katika interview zote leo nakupa big up salama kwanza umependeza Alhamdulillah. Nakuombea kwa Allah uongofu zaidi uzidi kuvaa ushungi. Masha Allah.

Ответить
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 - 30.12.2022 01:08

Salama umependeza sana umependeza mungu na sisi

Ответить
@ibramrzebra1675
@ibramrzebra1675 - 30.12.2022 06:25

Masha'Allah Tabaraka'Allah

Ответить
@naissabard2519
@naissabard2519 - 30.12.2022 14:12

Hongera salama hijabu ndo vazi bora kwako Allah akulinde ameen

Ответить
@khadijakheir9323
@khadijakheir9323 - 31.12.2022 20:06

Masha Allah

Ответить
@seifbattawy9455
@seifbattawy9455 - 01.01.2023 14:10

Naomba kuuliza hivi kimaadili inasihi kutumia neno "Malaya" hadharani? pili hongera sana Salama hakika kipindi unakinogesha kwa hayo maneno yako unayochomekea eti "uwanja wa fisi"

Ответить
@winniekisebela1686
@winniekisebela1686 - 02.01.2023 02:25

Kweli umependeza sana na mjitandio MANSHALLAH 😍🤩

Ответить
@emedisaidi8155
@emedisaidi8155 - 02.01.2023 09:56

Salam kiukwel uko vizuli san endelea kuvaa jabu umependeza san

Ответить
@mpokiwilson4984
@mpokiwilson4984 - 02.01.2023 18:01

Salama wewe ni mke mwema

Ответить
@husseynomar9523
@husseynomar9523 - 02.01.2023 21:16

Salama tafadhali tuleteeni SHEIKH MUHIDDIN MAALIM SIASA NA SABRA MACHANO WA ZANZIBAR🙏

Ответить
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 - 03.01.2023 11:26

Subhanallah

Ответить
@maryamsalim3233
@maryamsalim3233 - 03.01.2023 11:35

Sasa umependeza sana mashah

Ответить
@abuumohamed7090
@abuumohamed7090 - 03.01.2023 18:27

Smart woman

Ответить
@saidhamad9723
@saidhamad9723 - 03.01.2023 19:59

Buibui linakupendezaaa bibie lkn ukikaa kichwa wazi ni tafran

Ответить
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p - 03.01.2023 22:13

Mashaallah tunajifunza ,asante sana salama kwa kutuletea mtu wa kutupa masomo mazuri ya dini

Ответить
@FatmaMohamed-cq2tn
@FatmaMohamed-cq2tn - 04.01.2023 23:12

MashaAllah barakallah

Ответить
@user-vj6qs8sv8i
@user-vj6qs8sv8i - 05.01.2023 16:31

Allah akuhidi uongoze uislam insh
Salama

Ответить
@aishaakida885
@aishaakida885 - 05.01.2023 18:56

Salama umependeza sana na shungi

Ответить
@hajikhamis6544
@hajikhamis6544 - 06.01.2023 00:40

Sh Mardhia Allah akujaalie kheri kwanza kabla ya kuanza mazungumzo ukamwambia Salama avae mtandio na yy pia Allah amuongoze akipende kivazi hicho Cha stara

Ответить
@salimbazmul5806
@salimbazmul5806 - 09.01.2023 20:01

Mashaa Allah Hii Kali Kuliko show zote Big Up Siz Salama Allah zaidi🙏🙏🙏👌👌👌👌

Ответить
@nemestesha7784
@nemestesha7784 - 10.01.2023 20:55

asee nafikiria kubadili dini niwe muislam....yani katika uislam kila amri ina faida katika maisha

Ответить
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 - 11.01.2023 15:02

Mashallah nimepata dawaaaa kubwa sna

Ответить
@mchaali7508
@mchaali7508 - 12.01.2023 16:42

Masha Alla shekhe mardhiya tumenufaika mengi na salama uendelee kuvaa shungi inshallah

Ответить
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 - 14.01.2023 10:56

Zaidi ya wanne????

Ответить
@kenty101
@kenty101 - 15.01.2023 14:39

Ko wanaume wana mbavu 13😂😂 ?????

Ответить
@balqisbalqis5830
@balqisbalqis5830 - 16.01.2023 18:30

MaashaAllah salama tunaomba uwe unajistiri namna hiyo unapendeza sana Allah akuwafikishe

Ответить
@khamiskusaga263
@khamiskusaga263 - 25.01.2023 19:51

Hahah Salama wewe Msela I wish one time nikutane na wewe , Maana huwa na cheka sana kwa kituko vyako vya ucheshi

Ответить
@amemohammed7493
@amemohammed7493 - 26.03.2023 17:18

Umependeza sana leyo salama

Ответить
@kaizilejackson862
@kaizilejackson862 - 16.04.2023 16:08

Tuna muomba adili chapakazi ... Kwenye salama na plz mamdogo

Ответить
@PudensianaSilayo-dw4ch
@PudensianaSilayo-dw4ch - 04.05.2023 19:19

Dada salaam ungejua unavaa hvo hvo kila siku.aiseee

Ответить
@shaanaseeb9423
@shaanaseeb9423 - 20.06.2023 17:37

Shekhe katish🥰

Ответить
@salimumbwali2607
@salimumbwali2607 - 26.07.2023 14:35

Ninamuomba sana allah dada salama akuongoze sana undelee kuvaaa ivo ivo ushungi

Ответить
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 - 05.12.2023 16:59

Mwaka 1994 ndo nimezaliwa Mimi kumbe umetoka mbqli

Ответить
@saidahmed9688
@saidahmed9688 - 12.02.2024 03:31

nzuri inamafunzo

Ответить