Комментарии:
Amina kubwa makuhani kwaya❤❤kwaya🙏
ОтветитьGospel Dance Chritmas ni hii sasa💃💃💃💃💃💃mungu awabariki sana
ОтветитьNaipenda sana hii nyimbo
ОтветитьAmeen baba
ОтветитьNajiunganisha mimi na mumewangu nawatoto wangu ibadahi yaleo mungu tufungue niguse Emungu wangu
ОтветитьMungu awainue zaidi nabarikiwa sana huu wimbo naupenda sana sichoki jmn kuuskilaza
ОтветитьYesu niwetu
Tulinde mabaya yaduniya. Amiiiina
Amiiina. Ahsanteeeene.
Naprnda mazuli haya
Imefanyika. Amiiina
Baba
Amiiina yesu
Amiiina
Nabarikiwa sana wapendwa ktk maisha yangu, natmn San kumtumikia mungu Kwa njian ya uimbaji yesu naomba unikumbke na mm
ОтветитьMungu awazidishe muzid kufanya kaz yake zaidi ya hapa
ОтветитьAmina
ОтветитьAhsante Yesu nimukuja na mauwa nikushukuru👏
ОтветитьAmina wadunguyangu wangomeni
ОтветитьAmina baba napokeya baba
ОтветитьBaba nimekuja namauwa
ОтветитьAsante yesu
ОтветитьNyimbo hii huwanalia sana ninayopitia mitihani najuwa ipo siku yesu ananifuta machozi yang asant yesu
ОтветитьAmen nimekuja na mau mbelez zako Yesu nice song❤
ОтветитьAminaa
Ответить❤❤
ОтветитьHuwa na barikiwa sana huu wimbo yesu wa ngomeni pokea mauwa yang
ОтветитьUsichoke kuona na kukata tamaa Iko ck yk tuu muamnin mung
ОтветитьKaribun sn Ngomen
Ответить❤❤❤❤Nyimbo ya mwaka
ОтветитьGood
ОтветитьAmina
ОтветитьYesu Ndio kimbilio letu 🙏🙏🙏
ОтветитьAmen💐🌹🥀🌺🌷🌸 pokea mauwa yako Yesu Kristo wa Ngomeni kwayale yote ume nitendea
ОтветитьHakika YESU KRISTO ni MUNGU MKUU na UKUU wake hauna mwisho
ОтветитьMungu wa mbingu na Dunia asante Kwa kunifelisha hapa nilipo jina lako lihimidiwe
ОтветитьMimi nataka frash
ОтветитьAmina nabarikiwa kutoka oman❤
ОтветитьNakushukuru Mungu wangu kuniponya magonjwa sugu yaliyokua yananisumbua nakuja na maua ngomen
ОтветитьNabarikiwa Sana
ОтветитьNyimbo ❤❤nzuri sana
ОтветитьAmen mungu futa machozi yangu
ОтветитьHakika tunazidi kuinuliwa na kubalikiwa kupitia kwa baba yetu kuwani na mwalimu musa richard mwacha hakika mungu wa ngomeni Ni nuru harisii❤
ОтветитьAMEN
ОтветитьASANTE SANA YESU WANGU NAOMBA FUTA MACHOZI YANGU AMEN
ОтветитьWimbo unanibariki sana, pokea maua yangu Yesu wangu
ОтветитьAsante sana baba😂😢😢😢❤❤❤❤
ОтветитьYesu mungu mkuu nakuomba kupitia wimbo huu umifute machozi yangu
Ответить❤️❤️❤️🙏🙏
ОтветитьNimekuja na maua
ОтветитьAmakweli waimbaji wameutendea haki hiu wimbo ❤❤
ОтветитьNaipenda sana hii kwaya nikisikiliza inanikosha moyoni
ОтветитьBlessed with singings.
ОтветитьAudio naiptaje
ОтветитьAhsante Mungu Ahsante Yesu kristo wa Ngomeni umenifuta machozi naomba unisaidie upako unifikie maana leo sipo sawa kiuchumi Yesu kristo Mungu mkuu uliye nuru harisi naomba unisaidie Ameen
Ответить🙏🙏🙏✋✋✋✋✋🌷🌷✋✋✋🙏🙏🙏🙏✋✋✋🇺🇸🇺🇸🇺🇸🙏🌷🌷✋✋🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷
Ответить