Комментарии:
❤❤❤❤
Ответитьsalama mungu akulinde kwa ajili yangu
Ответитьteam nakoz 🔥🔥🔥🔥 mfaume mwamba namkubal sana
ОтветитьBonge ya interview salama💪💪
ОтветитьMandoga ajee nae kwenye salamaNa😂😂
ОтветитьWe support you my big bro
ОтветитьNa nukuu "Siwezi kusema niliumia baada ya kumuumiza matumla hadi ikapelekea yeye kulazwa sababu nitakua namkufuru mungu" maneno ya busara sana nakubali bro.
ОтветитьSmart boxer of all time
ОтветитьBravo big brother
ОтветитьChamp..👍
ОтветитьKwa nidhamu wallah hio uko nayo kweli kabisa Mfaume....MUNGU aendelee kukuinua bro
ОтветитьDuuh! Kumbe mi ni mzee, Mfaume Mfaume ni mdogo kwangu
ОтветитьSalama mlete mjomba mpoto mezani tafadhali
Ответитьsalama fanya interview na Fei toto
Ответитьingekua poa sana kama next interview ukafanya na BABA T, kuna madini mengi sana anayo
ОтветитьTunaomba episodes zijazo utukutanishe na @mwais mtu mbad
ОтветитьBondia ana mapambano zaidi ya 20 ya Professional kisha anasema ngumi zenye points ni za kichwani pekee
😢😢😢
29 miaka du...
ОтветитьBondia wa mananasi
Ответитьjamaa anajua sana kuongea safi sana
Ответить