Комментарии:
Bora mumalize tu maana tumechoka na kushangaa kumbe vitu vizuri munavipenda .
ОтветитьMbn online ticket haifunguk
ОтветитьMchongoko lini bwana mnaniboa
ОтветитьNaomba treni Moja ya mchongoko iitwe KADOGOSA EXPRESS kwakweli amefanya kazi kubwa sana uyu Baba, mpeni maua yake kwakweli
ОтветитьMabehewa ya golofa yariyo baking ujerumani mbona hayaji
ОтветитьKulinda usalama wa train nchi kama Ufaransa,Zimbabwe wanatumia drones na helikopta.Nasi tusichukulie poa.
ОтветитьKuna taarifa inatembea kwenye channe ya miladi oyo kua train ya umeme imezima ndani ya saa 2 mbili ,,kwamba zchanzo ni nyaya zimeguswa na budni na ngedele ni kweli,?
Ответить