DKT SULLE ATOBOA SIRI UTAJIRI WA SHK OTHMAN MICHAEL HADHARANI

DKT SULLE ATOBOA SIRI UTAJIRI WA SHK OTHMAN MICHAEL HADHARANI

Riyadh Tv Online Znz

7 месяцев назад

7,842 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@Saitvonlinetz
@Saitvonlinetz - 19.12.2023 19:07

Mashaallah namkubali sana Dr Sule

Ответить
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 - 20.12.2023 02:49

SWADAKTAA KABISA HAKUNA KAMA DUA....

Ответить
@iddymossi3252
@iddymossi3252 - 20.12.2023 09:51

Innalilah wainna ilaih rajiun kuna waislam wanalala njaa nyinyi mnasifiana magari allah amekupwni mtihani

Ответить
@azizaawadh7231
@azizaawadh7231 - 20.12.2023 12:51

Amakwel dunyaa lmeishaa watu tunavyopenda duniyan mh mthan Allah atuongoz

Ответить
@azizaawadh7231
@azizaawadh7231 - 20.12.2023 12:51

Amakwel dunyaa lmeishaa watu tunavyopenda duniyan mh mthan Allah atuongoz

Ответить
@ramaaman4020
@ramaaman4020 - 20.12.2023 14:40

Nikweli dua muhimu,Mungu anapendwakuombwa,Shukran Shekh

Ответить
@IddiMau-wy2ey
@IddiMau-wy2ey - 21.12.2023 21:52

Kaongea sahii

Ответить
@salemaliy1963
@salemaliy1963 - 22.12.2023 02:42

Dk sule ..Ile haberl yako Arusha vipi ...unafanya biashara

Ответить
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry - 22.12.2023 19:04

Taja Mali zako usitaje za mwenzio dawa mnauza dua anauza tena kwa pesa nyingi

Ответить
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry - 22.12.2023 19:07

Hawa Masheikh sio hasa maana maneno yake yamenivunja moyo. Dua pekee sio mtaji Imani na lilahi ndio ufunguo kama dua ninmtaji basi wengi wangeomba wote wakapata. Imani huna utainua mikongo muombe Mingu akupe gari?

Ответить
@jamilamohammed2771
@jamilamohammed2771 - 23.12.2023 10:53

Allahu akbar ❤❤❤❤

Ответить
@jamilamohammed2771
@jamilamohammed2771 - 23.12.2023 10:53

Ameen thuma ameen ❤❤❤❤

Ответить
@mjaaliakhalfan9030
@mjaaliakhalfan9030 - 23.12.2023 17:07

إنا لله وإنا إليه راجعون
Shetani akitaka kumpoteza mwanadamu anatumia kila mbinu.
Nyinyi hamna cha kuzungumza Ila hilo??
Kuna mengi y kuwambia watu,huo ndo mwenendo wa Mtume??
Au maswahaba??
قال الله جل وعلى(وتحبون المال حبا جما)

Ответить
@mjaaliakhalfan9030
@mjaaliakhalfan9030 - 23.12.2023 17:40

احذروا الدنيا..
قال رسول الله (ص)(فوا الله ما الفقر أخشى عليكم ولكني أخشى أن تبسط الدنيا عليكم كما بسطت على من كان قبلكم فتنافسوها كما تنافسوها فتهلككم كما أهلكتهم)

Ответить
@yusufhamza7573
@yusufhamza7573 - 24.12.2023 11:28

Nyinyi mwasema hamufanyi kazi ..Sasa kama hamufanyi kazi mwapata vipi pesa...walhy masheikh watanzania aslimia 99 Ni matapeli .. waizi.... elimu munayo kweli but udaganyifu ndio uko mbele....group moja tu Hawa wote Kina Yusuf diwani athman Michel , Kuna sheikh akijiita Dr nakshabandii....Hawa Na wengine wote matapeli. Wachukua pesa za watu hakuna kazi wanifanya. Dawa zao ghali...

Ответить
@user-en2gp3fb7m
@user-en2gp3fb7m - 13.01.2024 14:45

Daaa hayo ndo mawaiza hajui huo utajir ni mtihan kwa Allah binadam msipende Dunia kiasi hicho

Ответить
@issachina9443
@issachina9443 - 05.04.2024 03:13

Mashekh duwa mnauza ghali mnoo madawa mnauza ghali mnoo inafkia maghali baadhi ya mashekh wanaringa utafkiri wao ndo wanaoponya kumbe ni mungu

Ответить
@saiditara7235
@saiditara7235 - 25.04.2024 20:13

Imethibiti katika Hadith ya mtume صلى الله عليه وسلم kwamba hakuna nabii yeyote aliyetumwa na Allah ila alikuwa akichunga mbuzi, akaulizwa: kwani hata wewe ulichunga? Akasema: ndiyo.

Alikuwa anachunga mbuzi wa watu wa makka na kupewa ujira ambao alikuwa akiutumia katika mahitaji yake ya maisha ya duniani.

Hawa wasiwadanganye waisilamu, bali muisilamu unatakiwa kuomba Dua huku ukifanya kazi na Ibada zingine, halafu pia mtu kukosa sio jambo la kumsimanga mtu kwa sababu Allah mwenyewe kashasema kwenye kitabu chake kitukufu:
وَٱللَّهُ فَضَّلَ بَعۡضَكُمۡ عَلَىٰ بَعۡضࣲ فِی ٱلرِّزۡقِۚ﴾ [النحل ٧١].
Na Allah amewafadhilisha baadhi yeni juu ya baadhi nyingine katika rizki.

Wapo ambao ni matajiri, na wapo ambao ni masikini,na wapo ambao ni wamiliki, na wapo ambao ni mamluki.

اللهم اهدنا إلى سواء الصراط.

Ответить
@AbdullahOmar-be4wy
@AbdullahOmar-be4wy - 27.04.2024 13:50

Doctor sule umedhulumu waislamu wengi sana historyia yako inajulikana mm nakumbuka pemba alikuja kuchangisha msikiti zikamapatikana milioni 9 bc akapewa laki tano akakataa akasema zigaiwe sawa sawa

Ответить
@mohamedali7544
@mohamedali7544 - 06.05.2024 10:07

Ustadh unauzaa dawa

Ответить
@RahimSwalehe
@RahimSwalehe - 24.07.2024 11:51

Mashekhe sadaka zinatusababisha tulio nahali ngum kushindwa walau sadaka ziwe chin kidogo

Ответить