HATUWEZI KUWA JESHI KAMA WANANCHI WETU HAWAPO HURU  MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU  JWTZ

HATUWEZI KUWA JESHI KAMA WANANCHI WETU HAWAPO HURU MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU JWTZ

RUVUMA TV

4 года назад

48,332 Просмотров

Mkuu wa kamandi ya nchi kavu Meja Jenerali George Thomas Msongele amesema hawawezi kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania wakati wananchi wake hako huru na hawana amani,
Meja Jenerali George Thomas Msongele amesema hayo wakati wa ufungizi wa zoezi la SAFISHA MISITU TANGANYIKA (SAMITA) katika Wilaya ya TANGANYAKIKA kijiji cha MISHAMO mkoani humo.
Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии: