Комментарии:
Best story teller ever to exist in this century only one king jamar prof 👑
ОтветитьUko vzr chief wasimuliaji wengine wachukue somo kwako
ОтветитьNice god akupe umri mrefu
ОтветитьBest story teller
ОтветитьGood 👍 revelation keep it going as we expect more of the related stories thanks you from +254 🇰🇪
Ответить❤❤❤ story book
ОтветитьI need back my answer niambie wewe umejuaje
ОтветитьKakaa wewe hayo yoote umeya jua je?
ОтветитьGood job ❤❤❤❤
ОтветитьProfessor big up sana
Ответить😂😂Hapo sasa mkuu,kama umetupa history ya hivyo vitabu 5, wewe umevijuaje bila ya kuvisoma? Hapo bado umenifumba😊😊
ОтветитьGod created you with a perpose. To educate people and remind them the beginning of the present things.this things are there..
ОтветитьAmiiina mungu atulinde masatani
Baba wetu
Nimungu
Aliye
Mbinguni
Namutume wetu
Yesu
Wanazaleti.
Amiiina
Nataka hivo vitabu Jamal nambie kwenye ntazipata
ОтветитьVitabu hivo vitano vinapatikanaje?
ОтветитьNice work professor I really learn alot thru ua stories
ОтветитьWishing you good luck
ОтветитьN kwel kua uko na story nying zenye furaa ila c unatumia muda mwingn
ОтветитьNakukubali sana mwambaa
ОтветитьBest story teller kwanza ukiwatch usiku ukiwa jaba...halafu KPLC wafanye ile kitu.....representing Ongata rongai...Kenya too
ОтветитьKing Solomon 💯
ОтветитьBig up bro Jamal 🇧🇮🇧🇮 story zako nazipenda sana
ОтветитьBig up bro Jamal 🇧🇮🇧🇮 story zako nazipenda sana
ОтветитьWeh tutateketea tukijiona kama hiyo stori ni ya kweli
ОтветитьVikapatikana wapi
ОтветитьNiambie wapi kinapatikana nisome, Uongo mtupu
Ответить😢😢😢😢❤ Jamaal April saluti nyingi xana kwako kipaji bora peke.
ОтветитьUnajua kusimulia vizur
ОтветитьPlz where is the living swahaba?the sacred tree
ОтветитьHivi Vitabu vyote vinavyozungumziwa hapa ninavyo ...
ОтветитьAhsante Kwa taarifa kutoka this story book.
Ответить🎉Nawaelewa vyema
ОтветитьI want to read these books
ОтветитьSio poa🙌
Ответить🤴Mimi nakitaka hicho kitabu
ОтветитьSo where do i find these books 😅
ОтветитьKweli nimepata somo kaka asante sn
ОтветитьNaomba namba yako mkuu
Ответить😱
ОтветитьSorry, my swahili might not be good but yeah___ Apana__ mtu awezi kufa wala kupata tatizo yeyote kwasababu wenye vitabu ivyo ni watu wenye walitumika na Mungu sema tu vitabu ivyo viliwekewa kwa siri mmno na maana ya siri ni kupenda watu wasijue siri za dunia wala na labda kufichua siri za ndini zingine. Kwa mfano iyo kitabu ya kwanza mwenye aliadika ni Mfalme Solomon_ ni historia kipindi Solomon alikua na tengeneza kanisa la Mungu sasa palikuaka mtumikishi wake alie kua na pendwa na Mfalme Solomon.. sasa siku mmoya ilitakiwa mfalme amuulize kwanini aiko mwenye afya na kuonekana mwenye tatizo… yule mtumishi akamwambia apana mfalme_ kuna shettani ambaye anakuyaka kuninyonya kidole ya kwanza bla bla bla sasa mfalme akupenda na kuona mtumikishi wake anasumbuliwa… kisha mfalme akaenda kuomba Mungu usiku na mchana _ Mungu ali jimbu maombi ya Solomon na kumpatia pete na maelezo kisha Mungu tena ali mbarikia Solomon kwaku mpatishia uwezo mkubwa yaku control majini na demons zote dunia iyi na njuu… na historia inaendelea___ iyo ingini kitabu ya HOLY MAGIC/ SACRED MAGIC ni kitabu ilio patishiwa na Moses, AARON - DAVID na wengine kutoka kwa Mungu, kitabu iyo ina fundisha hekima ya kweli ya kimungu aliyopewa na Ibrahimu kwa Lameki mwanawe…. Ni vitabu muhimu saana kuvi soma na kuelewa ita kusaidia kuelewa dunia iko namna ngani__ kumbuka aya yote alikua bado Yesu kuya___ kwa sasa mtu yeyote yule anauwezo mkubwa kupitia jina lake Yesu
ОтветитьDunia inamambo mengi sana sana, mda mwengne tuache kufuatilia masuala ya kijinga na kufuatilia masuala ya msingi.
Ответить0
ОтветитьIs it true professor
Ответить😢😢 jamani inatisha kwer an duuh😢
ОтветитьGusa pia kwa viongozi wetu waliokufa wa kiserikali
ОтветитьSema ndoivyo tu rugha yake ningumu kama ingekuwa kiswahili ningekitafuta
ОтветитьHalima kitu Kama hii hizo n myths
ОтветитьI need books
ОтветитьLakini vitu zingine ni funny wewe April Jamar ulikuwa aje😂😂mikosi hutokea
Ответить