Комментарии:
Mashallah mashallah
ОтветитьWarab pakahiv hawanyonyesh shukran 🙏
ОтветитьAslm alkm wtw..... shukran sanaaa Sheikh Othman. Kweli kabisa, kazi ni kazi hata ya kufagia barabara. Wahenga walinena, mchagua jembe si mkulima. Mwanamume ni kazi Sheikh. Ama wanaume wa leo hawana time ya kuchunguza mke ilu waishi vyema. Nilikuta moja akimwambia mkewe kaa vizuri, wanawake ni wengi. Hakika niliumwa na roho. Sipendi kusikia story za ndoa. Allah awajaalie wanaume waongoke kupitia wewe Sheikh wetu kipenzi. Allah akulinde, akukinge, na akuhifadhi, shukran sanaaa Sheikh Othman. Jazakallahu kheir.
Ответитьmashalla wanawake wenzangu tujifunze
ОтветитьMashalla sheikh wetu
ОтветитьMasha Allah
ОтветитьMashaalaah Allah akuongezee maarifa
ОтветитьMashAllah tabaraka rahman
ОтветитьMashaallah Allah akulipe kheeer
ОтветитьMashaAllah
Ответить