LIVE: KIKUNDE MUDA HUU MHE:FREEMAN MBOWE, LEMA,

LIVE: KIKUNDE MUDA HUU MHE:FREEMAN MBOWE, LEMA,

Chadema Media TV

3 недели назад

6,187 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 - 29.06.2024 19:17

haya bhana Lema😂

Ответить
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 - 29.06.2024 19:19

Uu niudhirisho tosha wewe Mwenyekiti taifa u mtu wa upekee katika siasa tanzania, akuna mtu kama wewe na wandamizi wako: Lissu, Peter Msigwa, Heche, Lema, sugu, John Mnyika, excellence MWALIMU salim etc...

Ответить
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 - 29.06.2024 19:21

Demonstration ya kumtambulisha Maimuna na kuomba radhi humility yako u mtu wa upekee ndivyo siasa uitaji, kujishusha....

Ответить
@jeanbaraka1008
@jeanbaraka1008 - 29.06.2024 19:21

Nani kama wewe kisiasa mwalimu wangu wa siasa?

Ответить
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq - 29.06.2024 20:03

Awamu hii tutafanya maamuzi magum maana ugumu wa maisha unaosababishwa na Hawa jembe na nyundo utatupa ujasili

Ответить
@rogersiddy
@rogersiddy - 29.06.2024 20:13

Mtu wa Camera hujitambui kbs baada utumie fulsa ya kuwaonyesha watu walionyoosha mikoni kuashilia ccm hapiti bado unamchukua LEMA kweli kazi zinawenyewe😂😂

Ответить
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 - 29.06.2024 21:58

Wananchi amkeni tuungane tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi! Ccm imefika mwisho ife kama inavyoua vyama vingine na wengine!

Ответить
@erestizacharia4758
@erestizacharia4758 - 29.06.2024 22:54

Big up chadema.

Ответить
@JoseSimon-mt6oc
@JoseSimon-mt6oc - 30.06.2024 00:17

Nikweli kbsa mkuu ila kinacho niuma ni nikuhusu kodi ya aridhi nawakati ni mali pekee ya urithi wa mtanziania inakuaje alipie kodi ,maana halisi kuwa aridhi sio mali yetu ndomana tunalipia sasa urithi wetu upo wapi ? Tunapo lipa kodi ya aridhi au jengo inamaana sisi ni wapangaji ukweli hili waliangalie kwa umakin mkubwa hatawezi kuishi kama wapangaji nawakati ni mali yetu halal inakuaje tuilipie?

Ответить