Luka 11:1-4
Siku moja, Yesu alikuwa mahali fulani akisali. Alipomaliza kusali, mmoja wa wanafunzi wake akamwambia, “Bwana, tunakuomba utufundishe kusali kama Yohane Mbatizaji alivyowafundisha wanafunzi wake.” Yesu akawaambia, “Mnaposali, semeni: ‘Baba! Jina lako litukuzwe; ufalme wako ufike. Utupe daima chakula chetu cha kila siku. Utusamehe dhambi zetu, maana sisi tunawasamehe wote waliotukosea; wala usitutie katika majaribu.’”
Mungu akubariki sana usikilizapo nyimbo hii ukapate kujifunza zaidi
#NAKUAMINIEP
Artist: Emmanuel Francis and Baraka Kusula.
producer:Mapula Pro (Kaka ake)
studio: Apex music
Song writer:Baraka Kusula, Mapula pro and Emmanuel Francis
Back vocals:Dotto Justine and Baraka Kusula.
#Tanzania #Mwanza #gospel #nakuamini
#Nakuamini
#Wastahili
#Msalaba
#Mwalimu
@paulclement25
@joellwaga
@EmmaFrancis14
Тэги:
#samia_suluhu_hassan #harmonize #yanga #simba #usajiri #ngushi #mapinduzi #ndugai #mgogoro