Комментарии:
Pokeeni rambirambi zetu wakenya walioko marekani 🇺🇸 Mungu awarehemu na awatie nguvu. Limeniumiza sana 😢❤
ОтветитьMungu awape faraja na mkavuke salama kwenye jaribu hili
ОтветитьKenya will still say thanks for inspiring song of Marco ,,,,,but God IlikuwA mapema kumchukua 😢😢😢,,,Rip
ОтветитьMarco😢😢
ОтветитьMwimbo inaniliza jamani
ОтветитьI love this song ❤
ОтветитьMarco, you will be missed man.. That voice😢
ОтветитьMama yetu Victoria zabron 😂❤❤kwa kweli mungu ametenda mlishoot huu wimbo ukiwa mjamzito ,,,then i tap the blessings am now pregnant,,nilisubiri mungu ashafanya kitu nashukuru
ОтветитьMungu awabariki mnamfariji mjane
ОтветитьDah nawapend san
Ответить❤❤❤🎉❤😢😢pamoja na bro Marco R.I.P akh inauma 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
ОтветитьMungu awabaliki
ОтветитьNawapenda mno Zabron singers ❤
ОтветитьBdo tunawapenda
ОтветитьI ❤❤ww😂😢😢😂
ОтветитьTaweza mimi taweza
ОтветитьNatfta mkee hpo zabron mnanishaurije wazee
Ответить8th sep 2024.....Am Writing this here coz I know r be back here kusema nimeweza na Ndoto zimetimia 😢😢kwa sababu saa hii 😌😭
ОтветитьAmina
ОтветитьMarko hivyo tu kiuraisi eti sai atuko pamoja inauma mm nashindwa kuamini🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
ОтветитьJaman nimesikia saut ya marco nikashtuka kumbe wimbi wa zamani eeh Mungu sauti hii anaweza angalau atupe tumaini jaman yaan marco aisee sauti yake eeh Mungu akaitumie tu mbinguni huyu kijana ametuuma watanzania jaman na wengine wote 😭😭
ОтветитьNitaweza 🙏
ОтветитьAmen🙏🙏
ОтветитьNtaweza mimi katika jina la yesu kristo
ОтветитьAmen
ОтветитьWimbo mzuri wa kutia moyo, nawaenzi sana wana Zabron. Marco zidi kupumzika kwa amani 😢😢😢
ОтветитьAminaaaa jamani Amina tena ,,,Sooooooo blessing
ОтветитьAmen hakika hatujaketwa duniani tushindane na watu, MUNGU akubariki sana bro! hakka huu wimbo umenigusa sana🙏
ОтветитьMungu. Akubariki. Sana. Akuepushie. Na. Baraka za. Dunia. Akupe maishamarefu. Na. Ambaiki. Uzaowako. Ameni.
ОтветитьTrès très fière de vous. Félicitations ❤
ОтветитьMbarikiwe zaidi 🙏🙏🙏.
ОтветитьWho has remained doubtful of Joseph's departure like me? I am getting addicted to his songs
ОтветитьMarco magical voice, very sad
ОтветитьMy situation right now
Ответитьnawapenda sana zabron singers
ОтветитьNakwama wapi au Imani sina
ОтветитьNitaweza 🙏🙏
ОтветитьNimempoteza mwanangu, mwezi wa 9 . Kusahau haya maumivu ni Mungu tu aingilie kati. Naamini nitaweza
Ответить❤❤❤Fanya tena
ОтветитьJapo napitia magumu lkn ntaweza kw jina Yesu..
ОтветитьAmina
Ответитьactually zabron singers your songs are blessing to me ....i don't know how many times i play your songs in a day actually it's uncountable
ОтветитьHere trusting on you God, l pray that when the time comes may even baskets hold water for me
ОтветитьNimeshindwa kudownload. Inakataa.
ОтветитьNipo hapa baada ya kupata taarifa kwamba Marco aliaga miezi miwili iliyopita, kwa hakika alimtumikia Mungu kwa kupasha jumbe kutokana na nyimbo alizotunga, ni huzuni mno, Mola aifariji familia yake na kisha ailaze roho ya Marco pahali pema.
ОтветитьKwa YESU naamini Bado ninazo nguvu Bado ntaweza ❤❤❤
ОтветитьKusahau maumivu ya moyoni, ndoto zangu kuzitimiza pia basi nikae nitulie na YESU kutii ntaweza BWANA ❤❤❤🎉
ОтветитьJamani mwenzenu nimetazama huu wimbo nikaguswa sn kumbe mambo yanakuwa tofauti nimejikuta nalia sn
ОтветитьAm watching it that song nice
Ответить