Mama ni mtu muhimu sana kwa mwanae. Mama anapokosekana maisha ya mtoto au watoto yanakuwa yakusuasua sana.
Mama ni wimbo wa maombolezo, msanii anaomboleza kifo cha mama yake na anaonesha utofauti wa maisha na mama na maisha yasiyo na mama.
Audio Produced by @DeeMasse
Studio: @gusurecords2608