Комментарии:
Wimbo mkubwa sana huuu Obby, Mungu akuzudishie kibali chake kwa watu wake. Amen.
ОтветитьYaan tangia niickie first time imenipa faraja na nimejikubal nlichojaaliwa nabak hapo kikija ntapokea hakija ctokimbia
ОтветитьGod bless you
ОтветитьI thank God for this song. Pure bliss🎉
ОтветитьMtiririko wa ujumbe na uanafalsafa.Swadakta!Najivunia kuwa shemegi wenu hata kama imani tunatofautiana ila ni mambo ambayo yanagusia kila imani.Kila la kheri Obby Alpha.Insha Allah pia wewe unapanda kwa uwezo wa ALLah!
ОтветитьMy eldest brother current 🎉🎉
Ответить❤️❤️❤️
ОтветитьAsante Mungu,
Bora nikushukuru Ee Yesu!
Is he Kenyan
ОтветитьMungu akubariki sanaaa Nimebarikiwa na wimbo
ОтветитьObby huu wimbo ni mkubwa sana Mungu akuinue zaidi ufike mbali sana mtanguluze yeye tu
ОтветитьGod thank u for blessing me with achild as m pregnant again through this song make my labor easy and I produce a healthy beautiful baby God I pray n I believe
ОтветитьMwamba kama mwamba hongera blood mbaka Zanzibar unatamba sana wimbo Mungu akuzidishie 🎉
ОтветитьGOD BLESS YOU
ОтветитьThis song amazing listen from Kenya
ОтветитьKupitia huu wimbo, Na Imani watu wengi tunaopambania maisha na kudharau hata kile kidogo tulichonacho, na kutaka Mambo makubwa tusiyo na uwezo nayo, Tutajifunza shukrani tulipofikia.
ОтветитьMwenyezi Mungu akujaalie hujui kiasi gani umenibariki🙏🙏wakati mwingine hatufai kulalamika.nafuta zote why me ...why me,.why me.
ОтветитьBarikiwa Sana Kaka toka Congo Bukavu 🇨🇩 umetubariki sana
ОтветитьBe blessed🎉
ОтветитьNice song
ОтветитьBora kumshukuru Mungu sababu kuna wenye wanatamani kufika mahali upo ukimshukuru utafaidika🙏🙏🙏🙏
Ответить❤❤❤❤❤ love 💕 the song
ОтветитьThis song hits home.God deserves all the glory
ОтветитьTamu yaani❤❤️
ОтветитьI always listen to this song before I sleep.💯
ОтветитьVery nice boy👍👍👍🙏
Ответитьwimbo bora god aku bless
ОтветитьPowerful message . gratitude all the way ❤
ОтветитьU add force in my workout
ОтветитьAmen Amen ❤❤❤❤❤🇺🇸
ОтветитьNafuta zile why me 🎉🎉🎉🎉
ОтветитьWimbo.iko.sawa
ОтветитьMay God bless you. This is pure talent. I see Solomon Mkubwa of tomorrow
ОтветитьAmenadili fikra za watu sana. ..ikiwamo mimi Asante, bless you
Ответить❤❤🎉🎉
Ответитьvery nice song
ОтветитьThe message is clean ,I love it may God continue to expand your territory 🙏
Ответитьstrong```💪💪
ОтветитьUshuhuda mwenyez munguu
ОтветитьNice song❤❤❤❤❤
ОтветитьBig tune
ОтветитьNyimbo zuri sana barikiwa 🙏
ОтветитьMwamba from Lubala enzii hizoo , KAZI nzuriiii mwanangu
ОтветитьBig AMEN 🙏
Ответить🎉lko cool 👌 Bro 🔥
ОтветитьNimeenjoy aisee wimbo umenikonga moyo ni mzuri hakina
ОтветитьBarikiwa sana Obby Alpha🥰
ОтветитьWoke up this morning with a certain dream of being at the lowest but God brought His Angels n we fed , only to be led to this song after I prayed giving thanks to God for His provision 🥰🙏🏾🤍🎉 sometimes let's just thank God no rebuking or binding , so long as God is in the midst you have won and you already have it all. Praise God 🙏🏾💐
Ответить❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ответить