MADEBE LIDAI NA STORI NZITO NA MREMBO HIDAYA BOLL, ITAKUTOA MACHOZI

MADEBE LIDAI NA STORI NZITO NA MREMBO HIDAYA BOLL, ITAKUTOA MACHOZI

Mbengo Tv

5 месяцев назад

133,330 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@user-xl7bw2yn6u
@user-xl7bw2yn6u - 23.02.2024 14:17

Pole sanq shabiki wangu

Ответить
@gradnesmaiko
@gradnesmaiko - 24.02.2024 00:17

❤❤❤❤ dada nimchangamfu huyu na anongea vzr

Ответить
@barakamtonyole6555
@barakamtonyole6555 - 24.02.2024 02:37

Sauti nzuri sana the way unacheka hongeraaa sana

Ответить
@user-ht8bd7wq4u
@user-ht8bd7wq4u - 24.02.2024 04:03

Kumbe ww ni mshenzi yani uliidai talaka kwa ajili ya dunia

Ответить
@user-tl3po6xk5o
@user-tl3po6xk5o - 24.02.2024 17:46

so kweli miaka 31 mhhh

Ответить
@user-tl3po6xk5o
@user-tl3po6xk5o - 24.02.2024 17:47

🎉

Ответить
@ideeking1244
@ideeking1244 - 25.02.2024 08:19

Boli ni masikini jeuri

Ответить
@sebenmover
@sebenmover - 26.02.2024 00:04

So nyote amjaona dem akifunga mlango

Ответить
@user-pw2bl4qd8w
@user-pw2bl4qd8w - 26.02.2024 02:47

Mtoto jicho nakupenda hidaya❤❤❤

Ответить
@user-pw2bl4qd8w
@user-pw2bl4qd8w - 26.02.2024 03:59

Pole dada hidaya ila mungu yupo anamipango na wewe mwamini mungu tuu yeye anaweza yote yatakwisha

Ответить
@nurdinmusa8390
@nurdinmusa8390 - 26.02.2024 23:14

Nipe Namba yake huyu Dada

Ответить
@luckylucky7153
@luckylucky7153 - 26.02.2024 23:32

Wee dada yani mitihani ulopitia ya ni mm ila mm nilichukua msimamo mbona maisha yasonga

Ответить
@vincentmajombo2586
@vincentmajombo2586 - 27.02.2024 03:22

Bolli ❤

Ответить
@epipodiusleonidas1876
@epipodiusleonidas1876 - 27.02.2024 10:59

Huyu yuko poaa saana na anajua saana

Ответить
@ritawarobi6318
@ritawarobi6318 - 27.02.2024 12:26

Huyu mdada hua ni mzuri sana. ila mtangazaji kutokujua matumizi sahihi ya R na L inakakata stim . Ajifunze bana

Ответить
@salummasoud6012
@salummasoud6012 - 27.02.2024 15:25

Duuh jamana namkubali sana huyu mdada

Ответить
@AdenAdiliano-rh8zf
@AdenAdiliano-rh8zf - 27.02.2024 21:32

Huyuu mwanaume kapoteza bonge la mwanamke

Ответить
@AyshaYassin-hm5xo
@AyshaYassin-hm5xo - 29.02.2024 13:55

Mashallah mpaka nimelia uku mwisho 😢❤❤❤🎉

Ответить
@user-gc2lt4ni5j
@user-gc2lt4ni5j - 29.02.2024 14:04

Kweli kabisa

Ответить
@nyumbayatibanadua737
@nyumbayatibanadua737 - 29.02.2024 22:16

❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

Ответить
@user-uk3wd5qq9i
@user-uk3wd5qq9i - 02.03.2024 03:10

Loveeeee uuuuuu

Ответить
@Mohaa4309
@Mohaa4309 - 02.03.2024 08:41

Macho yke mazur huyu dem❤❤❤

Ответить
@user-ms1xg1fp4v
@user-ms1xg1fp4v - 02.03.2024 13:46

Hivi hidaya upo wapi?

Ответить
@maryamkopwe812
@maryamkopwe812 - 02.03.2024 17:17

Wanaume mhhhhh simooo

Ответить
@Vaiva4254
@Vaiva4254 - 05.03.2024 22:05

Kwenye mazungmzo yenyewe ni kama anaigiza huyu dada...... ❤❤

Ответить
@aishaomar2287
@aishaomar2287 - 07.03.2024 21:31

Madebe ana ndoa nyingi kichwani...nmecheka sana😂😂😂

Ответить
@OptimisticTruck-us7pf
@OptimisticTruck-us7pf - 07.03.2024 22:10

Mtoto ❤❤❤❤wAkike mzuri sana weweeeeeee❤❤❤❤kubali nikuoe HIDAYA UTAKUA HURU MAMIIII

Ответить
@Mawengitv
@Mawengitv - 11.03.2024 21:06

dada uliyehost kipindi kipindi kama umesoma waandishi wa habari na utangazaji siyo vizuri kuhost kipindi ukiwa umevaa kofia

Ответить
@malombemunyithya9341
@malombemunyithya9341 - 12.03.2024 13:17

Namkubali sana dada ang hidaya bori

Ответить
@user-gu7ds1jh5t
@user-gu7ds1jh5t - 12.03.2024 16:08

Dunia imeisha Kwa nn Mambo ya ndoa Zina kwenda mitandaoni

Ответить
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 - 13.03.2024 23:25

Dah! Kuna mijitu ipo dunian kwa ajili ya kuharibu maisha ya watu wengine

Ответить
@Miro255
@Miro255 - 14.03.2024 14:04

Hakuna taraka tatu kwa mpigo, huyo bado ni mmeo

Ответить
@user-tc2bt9ev9u
@user-tc2bt9ev9u - 16.03.2024 01:01

Kaumbika

Ответить
@nancywanjiku1554
@nancywanjiku1554 - 17.03.2024 22:14

Black is beauty

Ответить
@user-gr9kx8hz6t
@user-gr9kx8hz6t - 19.03.2024 17:49

Mrembo sana wee dada nipe nafasi nikuowe❤❤❤❤

Ответить
@LUKONGETV
@LUKONGETV - 26.03.2024 06:50

Noma

Ответить
@aliomari5254
@aliomari5254 - 27.03.2024 01:39

Hidaya ilikuwa unakuja dukani kwangu mdogo sana unaniambia aomba pipi maashallaa

Ответить
@user-re7go7sf5y
@user-re7go7sf5y - 27.03.2024 09:22

Miaka 25

Ответить
@amanichanga3448
@amanichanga3448 - 01.04.2024 04:45

Daah,,, binadam, yani hakuwah kumtongoza, ila amewah kusikia tu. Lkn mnamchafua kinoma mtu aliewatoa

Ответить
@SaidKombo-yo6un
@SaidKombo-yo6un - 01.04.2024 09:12

Kama ni kweli waukae uliweka msimamo huo basi nimeipenda iyo style yako

Ответить
@SaidKombo-yo6un
@SaidKombo-yo6un - 01.04.2024 09:13

Hawamchafui ila inawezekana madebe tabia iyo anayo

Ответить
@SaidKombo-yo6un
@SaidKombo-yo6un - 01.04.2024 09:14

Hawamchafui ila inawezekana madebe tabia iyo anayo

Ответить
@SaidKombo-yo6un
@SaidKombo-yo6un - 01.04.2024 09:16

Hawamchafui ila inawezekana madebe tabia iyo anayo

Ответить
@ShaniSamwene-gd8el
@ShaniSamwene-gd8el - 01.04.2024 22:21

Mbona km mimi kabisa jamani... ulio yaongea najiona km tumechangia damu

Ответить
@yunusrnb5227
@yunusrnb5227 - 16.04.2024 07:21

huyu Dada mi nampenda sana hasa weusi na macho yake na midomo yake 😊

Ответить
@JohnKariuki-cu3dh
@JohnKariuki-cu3dh - 19.05.2024 16:16

Me namtambua sana uyu mtoto mzuri kwa lile bone la filamu yaani "MSUNGO"

Ответить
@malcomketer8262
@malcomketer8262 - 21.05.2024 20:07

Macho mazuri sana

Ответить
@PatrickTeshaTesha-zp4ld
@PatrickTeshaTesha-zp4ld - 14.06.2024 17:07

Mtoto wa kwanza wa kizalamo mwenye nidhamu😘😘

Ответить
@joelmadafu6021
@joelmadafu6021 - 13.07.2024 02:57

Nilimtambua Hidaya kwenye filamu yaMSUNGO kazi nzuri dada ila kazana uwe na familia

Ответить