#LIVE_ KAY MZIWANDA AUGUSTINE ASIJE KUWA OKRA PART TWOJOBE ANABAKIJE? Mashine za kutoa roho SAWA!!

#LIVE_ KAY MZIWANDA AUGUSTINE ASIJE KUWA OKRA PART TWOJOBE ANABAKIJE? Mashine za kutoa roho SAWA!!

Mavala Tv

3 недели назад

36,916 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu - 06.07.2024 15:26

Big up sister nakukubal

Ответить
@MasudKasonta
@MasudKasonta - 06.07.2024 15:31

Kei hujaorewa

Ответить
@hassanmatumba5272
@hassanmatumba5272 - 06.07.2024 15:35

Safi sana Kay,nlikuchukulia poa sana kumbe uko vzr upstairs.

Ответить
@onesmusfondo7679
@onesmusfondo7679 - 06.07.2024 15:42

Natumai mko njema watanzania wote,mmi pia nko njema tu hpa 🇰🇪,ila nko na ombi taf.
Endapo kna mtazamaji ambae ako namba ya k mziwanda,taf anipatie....

Ответить
@selemanmaganga-le4zg
@selemanmaganga-le4zg - 06.07.2024 15:46

Huyu sister namkubaligi saana japo mi ni shabiki ya yanga ana IQ kubwa saana pia hapendi unafki.

Ответить
@user-dt5wf8rx4k
@user-dt5wf8rx4k - 06.07.2024 15:56

Mziwanda anae wauwa wachezaji wa simba ni manara kumbuka kuna mzee aliwai rusha Crip akisema manara wakati yuko simba yanga wakisajili wanachukua majina ya wachezaji wa yanga wanaenda kwa mganga kisarawe yanatiwa kwenye chupa wanakwenda tupa baharini wa chezaji wanakuwa magarasa kwahiyo viongozi waende kwa wazee wa simba isomwe hata arbadili jamani tumechoka kutukanwa

Ответить
@januarysungura8119
@januarysungura8119 - 06.07.2024 16:02

Big up k

Ответить
@januarysungura8119
@januarysungura8119 - 06.07.2024 16:03

Big up k

Ответить
@AndrewLikiti-yb2ws
@AndrewLikiti-yb2ws - 06.07.2024 16:05

Baada ya kuhoji Mambo ya pira unahoji mapenzi!?? Hayo mtafute nje ya Media brother!

Ответить
@MadataDany
@MadataDany - 06.07.2024 16:09

hongera san wanalunyasi simba❤

Ответить
@kaizerabilahi5958
@kaizerabilahi5958 - 06.07.2024 16:40

Kweli yani m nilikua source ila daaha mke wangu mtarajiwa unamambo mengi saana..Hadi umenikela

Ответить
@errydeo8865
@errydeo8865 - 06.07.2024 17:55

Sijaielewa hii interview!! Kuna aliyeielewa?

Ответить
@user-princs
@user-princs - 06.07.2024 18:04

,😂😂😂😂 nampenda sana huyu Dada ❤❤❤

Ответить
@PaulMasolwa-ir4fp
@PaulMasolwa-ir4fp - 06.07.2024 18:17

Kweli mziwanda Nigeria hatuna historian nao nzuri kama Uganda' kenyan na kuolewa

Ответить
@josiacharles2778
@josiacharles2778 - 06.07.2024 20:49

Wewe dogo umeadimika sana wewe?

Ответить
@ezzepuritykamwene2121
@ezzepuritykamwene2121 - 06.07.2024 22:16

Huwa namkubali sana huyo dada,, sina hela ila nkionana nae nitampa hela kushow love kwake.

Ответить
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo - 06.07.2024 22:39

Nimemkubali sana huyu Dada, kaongea facts. Wadada halisi huwa hawali sana ila wanavaa sana. Hivyo amekidhi kuwa msichana halisi. Big up K Mziwanda.

Ответить
@komboarts7110
@komboarts7110 - 06.07.2024 23:07

Sister Yuko real sana aisee namkubari sana anasema ukweli hapendi kujikweza sana😂😂

Ответить
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je - 06.07.2024 23:24

Sasa utazeeka nyumbani maana hadi 2030 ndo simba itaenda club bingwa😂😂😂

Ответить
@lumistarboy8499
@lumistarboy8499 - 06.07.2024 23:42

Key mpuuz sana et napenda wakinisema vibaya 😂😂😂sasa una enjoy vip😂na matusi 😂😂😂❤

Ответить
@Licky_boy_tz
@Licky_boy_tz - 06.07.2024 23:52

🎉🎉

Ответить
@josephmgode154
@josephmgode154 - 08.07.2024 08:42

Kay mm mwenyewe napenda sanaaaaa kusemwa

Ответить
@jumahamisi2489
@jumahamisi2489 - 08.07.2024 09:12

Mm dada yangu utaolewa na kisugu au mzaramu ndio mtawezena ky mziwanda ndoa tanga kwenu

Ответить
@UwesuAbdu
@UwesuAbdu - 09.07.2024 00:07

Ky umepoteya san dda❤❤❤

Ответить
@yakoubaliy7559
@yakoubaliy7559 - 10.07.2024 22:50

Ky uko vzr❤🎉

Ответить
@user-kw6oe3yg9b
@user-kw6oe3yg9b - 11.07.2024 00:00

Kumbe uyu ni dada ,mimi toka nianze kuona interview zake ni likua nafikiri ni wakiume

Ответить
@killyKambanga
@killyKambanga - 15.07.2024 07:28

Nawatakia Simba mazowezi uko misiri

Ответить
@user-ot1vz6um2s
@user-ot1vz6um2s - 15.07.2024 08:48

❤❤❤❤sarut

Ответить
@user-ot1vz6um2s
@user-ot1vz6um2s - 15.07.2024 08:49

Hongera dadaangu ❤❤❤❤❤ukosawa

Ответить