WAZAZI wa PANYAROAD WALIOKAMATWA KUSHTAKIWA, WAZIRI GWAJIMA AONYA - "SITAKI MANENO NA MTU"

WAZAZI wa PANYAROAD WALIOKAMATWA KUSHTAKIWA, WAZIRI GWAJIMA AONYA - "SITAKI MANENO NA MTU"

Wasafi Media

2 года назад

110,374 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@barakadaniel-fl5kz
@barakadaniel-fl5kz - 28.11.2023 09:06

Mkulugenz wa Kasulu brothers organization kalibu mjiunge

Ответить
@barakadaniel-fl5kz
@barakadaniel-fl5kz - 28.11.2023 09:05

Tanzania naipenda

Ответить
@omarhome2260
@omarhome2260 - 18.05.2022 19:03

Jamani wewe mama kumbuka hakuna mzazi anaye zaa mtoto basi aje awe mwizi ama gaidi au jambazi Amjn kila mzazi anapenda snaa maisha mazuri snaa kwa watoto wao haki pengine tusema hao watoto wana pata tabia chafu kwa watoto wenzao lkn km ww ni mama mzazi huwezi kumukalisha mtoto wako bc una mwambia nenda ukaibe duuh

Ответить
@salustiashayo3486
@salustiashayo3486 - 15.05.2022 08:36

Kwahiyo kama mzazi keshamkanya kashindikana mzazi afanyeje

Ответить
@valentineshirima1658
@valentineshirima1658 - 15.05.2022 07:54

hata majiran wa panyaroad wakamatwe

Ответить
@samudakuz6897
@samudakuz6897 - 15.05.2022 07:46

Pia kunawatoto wengine nao wameshindikana jmn

Ответить
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 - 14.05.2022 22:14

Haya Sasa Mama yetu kajikita kwenye Royal Tour. Filam😂🤣

Ответить
@khadijakdj8640
@khadijakdj8640 - 14.05.2022 22:12

Miye naona watoto wa siku izi awauliziki ndo utauliza anakutoa loo🤣😂bora mkiwakamata nawenyewe kuwatoa loo tu akuna cha kuuliza mzazi nyinyi viongozi mnapandisha sasa kila sekita vijana wamekosa ajira kila sehem mara matukio ya moto sasa inabidi nanyie wawaulize uwo moto unaenda sehem za masoko makubwa inatoka wapi si Camera zipo au ndo mnataka kuuliza wazazi wa Panya bac nanyinyi tunawauliza kwanini mnapandisha Bei ya vitu kisa vita isiyowausu kwani uko wanakopigana wanafaham kuna Tanzania kweli 🤣🙄🤔

Ответить
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 - 13.05.2022 22:20

Subhanaallah yaarabi tunusuru yaarabi duniani jamani kumekuwa nini

Ответить
@sashahauke2032
@sashahauke2032 - 13.05.2022 20:27

Sawa sawa tujiridhishe maana wengine hata hawajali kabisa

Ответить
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 - 13.05.2022 16:36

Hataki maneno namtu😂

Ответить
@kafukubhingile3614
@kafukubhingile3614 - 13.05.2022 15:22

Kidogo kwenye wizara hiyo angalau unaongea kinachoeleweka sio wizara ya afya ulikuwa unazingua

Ответить
@angolina1768
@angolina1768 - 12.05.2022 17:42

Ni kweli wazaz wa dar hawawakemei watoto

Ответить
@gadisonmichael7805
@gadisonmichael7805 - 12.05.2022 17:01

mama nimekuelewa uko sahii kabisa wazaz hawafatilii watoto mama kunywa pepsi

Ответить
@ramadhanihome1799
@ramadhanihome1799 - 12.05.2022 14:56

Na kama baba ndo panya road mtamkamata mtoto?

Ответить
@hassannyaluke2702
@hassannyaluke2702 - 12.05.2022 08:10

Wazazi wanahusika,

Ответить
@barakanestory3521
@barakanestory3521 - 12.05.2022 01:46

Waziri safi sana tiandani

Ответить
@barakanestory3521
@barakanestory3521 - 12.05.2022 01:44

Wewe zaaa halafu wadekeze ndiyo utajuwahujui, mzazi anamuogopa mwanaye kweli? Mtoto mdogp hataki shule mama kalegea hataki shule nimwambia basi aachetu!!!!!!!! Mtoto anakuwa panya road, mzazi unalegeza Sauti Kwa mtoto,? Ukimbia toto lakojizi hutaki,Umelegea kama mbwembwe????

Ответить
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 - 11.05.2022 19:11

Uovu ni hulka ya mtu , kama uzinzi , ulevi, ugomvi nk ni vitu ambavyo mtu hujitafutia hata wewe pia huwenda unayo mapungufu yako lakini unajua hukufundishwa na wazazi ndo vile inakuwa na kwa panya road

Ответить
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 - 11.05.2022 18:42

mitoto jamani imeshindikana serikali mnasema tusiwapige mdomo mtupu hawaogopi kubwa huko mliko wakamata na kuwaweka wapigeni vizuri mtubakishie macho na miguu msivunje wapate kuonanjia yakurudia kwao na miguu watembelee lkn mwape adabu nzuri kabisa

Ответить
@amorich_tz824
@amorich_tz824 - 11.05.2022 15:55

Rudisheni machinga hayo mambo ya panya road hamtoyasikia mbona magu aliwaruhusu machinga na panya road walipotea mitaani coz walikuwa na biashara zao

Ответить
@ramhatemba9162
@ramhatemba9162 - 11.05.2022 15:09

Maneno na vitendo tunahitaji vitendo itakuwa dawa, mungu ukiifadhi waziri wangu

Ответить
@arafakiloli749
@arafakiloli749 - 11.05.2022 13:42

Safi sana

Ответить
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 - 11.05.2022 13:19

Awa watt nikufunga tu gerezan miaka 5 mpaka 7 kbs wakitoka wamekuwa naakili pia zimekuwa namuwape adhabu zakutosha uko gerezan atawakirud huku uraiyani awatamani tena kufanya upuz wao. Ila mkiwapatia dhaman michezo ndoitakua hihi awatoacha upuz wao kbs

Ответить
@omarykitololi447
@omarykitololi447 - 11.05.2022 12:24

We wazil mpumbavu sanaa kuna mzazi anaweza kutuma mtoto wake hawe mwiz kuna mzazi anataman mtoto wake awe panya ròd naona kama vile umekulupuka tuu acha uonevu wa kipumbavu

Ответить
@saadmbaraqa5272
@saadmbaraqa5272 - 11.05.2022 11:34

Mzazi mwenyewe hajalelewa kwenye maadili na mtoto na yy ataweza kumlea shida ni pombe na mikamari kila kona mikamari akiliwa mkeka anawaza wapi akaibe

Ответить
@dicksonmagari8803
@dicksonmagari8803 - 10.05.2022 23:56

Yatakurudia usifanye hiyo kitu

Ответить
@surusuru1994
@surusuru1994 - 10.05.2022 21:02

Asateee 💪

Ответить
@camillahamis1069
@camillahamis1069 - 10.05.2022 18:09

Huyu nae anaongea nn hvi mtoto wa kiume unadhan utaweza kumchunga uwiii anatoka huko katika makundi anavutshwa bangi baba mama akiongea anapgwa panga hvyo mama anaogopa .....wazaz wetu wanatupenda sana Ila kumlea mtoto wa kiume n kazi kubwa saaana makundi makundi ndio huaribu sio wazaz

Ответить
@nicholausmziray2928
@nicholausmziray2928 - 10.05.2022 18:03

Wavunjwe miguu tuu ndio dawa yaoo

Ответить
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz - 10.05.2022 17:47

Wewe mama unaongea unavyoona hao watoto wengine wazazi wamesema mpaka basi wengine wamehama wanaishi maisha yao

Ответить
@zaitunomar54
@zaitunomar54 - 10.05.2022 17:00

Safi san mam

Ответить
@gangmore9091
@gangmore9091 - 10.05.2022 10:01

Serekali ya Ccm punguzeni umaskini kwa Raiya wenu so kila mzazi anataka mtoto wake aharibike n so kila mtoto anataka aharibike umaskini umezidi nyie na family zenu munakula maisha mazuri kwa pesa za hao wazazi watoto waloharibikiwa ila nyinyi kuwatengezea mazingira mazuri hao walipa kodi hamuwezi kazi kuiba mapesa lawama ipo kwenu serekali tambueni nyinyi serekali ndio Baba ndio Mama Raiya watoto wazazi wakikosa uwezo wakuhudumia watoto ndio mazara yke hayo nyinyi mumeshindwa kuhudumia Raiya wenu munazidi kuoandisha makodi

Ответить
@rahmamwishehe2924
@rahmamwishehe2924 - 10.05.2022 09:52

Jaman safi sanaaa mama upo sawa wazazi wanahusika vilivyo yaan mm walinizingira zaid ya kumi maeneo ya kagera wakanikatakata na mapanga vizur snaa baaada ya hapo nikaenda mburahati polis yaan wale polis pale wapo vizur snaa maana wale watoto waliumiza watu wengi mm kwenda pale nikawa kama wa tano au wa nne nimepigwa na panya Road walichokifanya banaa waliwakata woteee sasa kutoa ikawa ngumu kuna mzazi mmoja akanifata na machoz dada naomba msamehe mwanangu atoke nakuomba nisaidie khaaa yule mama nilimjibu ovyoo snaa kwa hasira yaan wanahusika kabisaa kuna wazazi wengine maisha yao wanawategemea hao panya road watupokonye vitu ili waishi hata ss ni maskin ila tunajitafutia kwa ugumu huo huo hyi ni kama miaka mitatu nyuma kiukwel msikie tu kwa wenzenu neno panya road usiombe ukutane nao live utataman yatokee maaajabu upotee tu.

Ответить
@chicuarimbasfamilie394
@chicuarimbasfamilie394 - 10.05.2022 08:49

L

Ответить
@hazaaahmadhazaa2770
@hazaaahmadhazaa2770 - 09.05.2022 19:32

Ukitaka kulaumu utalaumu wengi!

Kwa hivyo na waalimu wawajibishwe kwa nini watoto wameacha shule na wao hawajachukua hatua dhidi ya wazazi kwa siku zote hizi!

Na wizara ya elimu iwajibishwe kwa nini walimu hawajuchukua hatua ya kuripoti wazazi ambao watoto wao wameacha shule na wizara haijachukua hatua yoyote!

Na wizara ya TAMISEMI iwajibishwe kwa nini viongozi ngazi za chini hawakufuatilia utoro wa watoto mitaani kwao na wizara inachukua hatua gani!

Ответить
@nurdinshehoza4854
@nurdinshehoza4854 - 09.05.2022 14:34

A man can not be punished for the wrongdoers which done by another. Even though there is some exception

Ответить
@happynelson1136
@happynelson1136 - 09.05.2022 14:20

Ni kweli hata nchi za scandnavia kuna wazazi wanawatuma watoto wakaibe hao ni wahamiaji wenye asili ya kisomali na asili ya kiarabu lakini sio wazazi wote wanawatuma watoto wakaibe kuna wazazi wengine hawajui kuwa watoto wao ni wezi hao watoto wanajifunza kutoka kwa watoto wenzao

Ответить
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 - 09.05.2022 11:47

uwo niugomvi na watu sasa

Ответить
@azizaabeid2055
@azizaabeid2055 - 09.05.2022 10:55

Sawa sawa waziri umeongea point wazazi nao wawajibishwe mzazi km mzazi kweli mwanao anatoka saa nane usiku hujajua tu km mwanao anajiusisha na makundi ya uhalifu kwa kweli wazazi pia tunachangia jamani halafu mzazi unakuta kabisa marafiki wa watoto wako sio midomo meusi bado tu umekaa hukemei halafu unakuta mzazi huyo huyo mtoto akiuza Vitu vya wizi huko ukirud unaletewa unga Wala uulizi vimetoka wapi unakula vya haramu kwa kweli ifikie hatua wazazi tuamke tuwafatilie watoto mienendo yao na tukiambiwa na hata na majirani zetu kuwa mwanao Yuko hiv ana makundi maovu tusikatae tuwafatilie kimya kimya bila kujua jamani Kuna baadhi ya wazazi wakipelekewa taarifa kuhusu watoto wao wanakataa sasa hii habari ikiwafikia wazazi kila mmoja atakuwa makini na mwanae

Ответить
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si - 09.05.2022 10:28

Mimi naunga mkono hoja kwasababu kuna walezi hawapo makini kabisa labda itasaidia wazazi na walezi kuwajibika mfano mm nipo nje ya tz walezi wa mtt wangu hawapo makini mtt miaka 10 hadi saa 5 usiku hajarudi home mlezi anaona poa tuu hapo mtt anaweza fanya lolote baya

Ответить
@dullywamashairi121
@dullywamashairi121 - 09.05.2022 10:08

Mtoto n chini ya umri wa miaka 18. Sikumfundisha mwanangu kufanya uharifu. Na alipotimiza miaka 18 aliniacha kijijini na kwenda kujitegemea huko mjini. Sijui anayoyafanya huko kwamaana siponae, maisha yangu n ya shamba tu.

Leo serikali inahitaji kunihukumu kwa makosa ya mwanangu!

SHERIA K I P O F U

Ответить
@skjjsj1889
@skjjsj1889 - 09.05.2022 09:18

Kila mtu atabeba
Mzg wake mwenyewe
Haiwezekani kosa la. Mtt abebeshwe mama

Ответить
@ramadhanibundala580
@ramadhanibundala580 - 09.05.2022 09:06

Tatizo sio wazazi selikali mbovu Sana dhaifu

Ответить
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 - 09.05.2022 06:41

Bora waulizwe wazazi pia.

Ответить
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 - 09.05.2022 01:01

Serekali za mtaa ziorodheshe wazururaji wahuni kwa polisi

Ответить
@makamekhamisi6026
@makamekhamisi6026 - 09.05.2022 00:21

Usiongee hayo maneno sema mngu atunusuru na watoto wetu mna unaongea kisicho faaa kuongea

Ответить
@hellenmushi5701
@hellenmushi5701 - 08.05.2022 20:27

Sasa ampe nini humo ndan na hili life lilivyokaza

Ответить
@timbulosaid63
@timbulosaid63 - 08.05.2022 16:22

Mbona wakichapwa mnasema unyanyasaji wa watoto

Ответить
@leomeddy3241
@leomeddy3241 - 08.05.2022 14:09

Safi xana

Ответить