SHK MSABBAH ASMULIA ALPOKWENDA GEREZAN | NILILIA SANA | "KAMFUMANIA MKEWE NA MWANAWE WA KAMBO AKAUA"

SHK MSABBAH ASMULIA ALPOKWENDA GEREZAN | NILILIA SANA | "KAMFUMANIA MKEWE NA MWANAWE WA KAMBO AKAUA"

Riyadh Tv Online Znz

2 года назад

39,364 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@yasiniselemani2412
@yasiniselemani2412 - 09.08.2021 12:37

MH bilye oyekomile

Ответить
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 - 09.08.2021 13:08

😂😂😂😂🙄😝😝

Ответить
@khalidkiwelu7583
@khalidkiwelu7583 - 09.08.2021 13:11

ASTAGHFIRU'LLAH

Ответить
@salumajuma9583
@salumajuma9583 - 09.08.2021 13:48

Muandishi andika vizuri usipotoshe

Ответить
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 - 09.08.2021 14:05

jamani maelezo mbona tofauti na heading HAIPENDEZI

Ответить
@omaar5693
@omaar5693 - 09.08.2021 14:31

Riyadh
Angalieni izo clip fupifupi mnazipa headlines za kiudaku,,
Hata jana kimoja mlikifuta kumhusu sh.Farid
Yaani munajiachiia....
Munaudhi

Ответить
@abdullahalbalushi3856
@abdullahalbalushi3856 - 09.08.2021 21:04

Riiiiiir bbbbb RIiiiib bbbb

Ответить
@abuunajat1164
@abuunajat1164 - 10.08.2021 07:34

Uyu Mzee hastahik kuzungumzaa kwenye dini Yani nichengaa Sana akiri yake haiko Sawa ana maneno machafu Sana...!! Allah amuongoze yeye nasi pia

Ответить
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 - 10.08.2021 21:14

Astaghfirullah! Sasa hapo ni Msikiti au kwenye baraza la kahawa!?

Ответить
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 - 11.08.2021 03:53

MashaAllah shukran sheikh

Ответить
@zanzibarspice8686
@zanzibarspice8686 - 11.08.2021 14:15

Sheikh yupo Sahihi Katika kutoa Daawa Msimzihaki mbona hamsimami nyinyi Kutoa Hayo.masafi

Ответить
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 - 13.08.2021 11:44

Sheikh me nakuelewa sana Allah akuhifadh

Ответить
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 - 14.08.2021 08:46

Shehk samahani ungepunguza nywele ingekua vyema zaidi

Ответить
@mikealeck6447
@mikealeck6447 - 14.08.2021 12:15

Hizi kucha ni vipi ?au nyinyi hamuoni?
Kama zinaruhusiwa tuambieni..

Ответить
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 - 15.08.2021 04:44

Anyoe midevu huyo uchafu mtupu

Ответить
@aluteonlinemedia5574
@aluteonlinemedia5574 - 16.08.2021 13:41

dah hatari hiyo 😓😓

Ответить
@jumanneissa8226
@jumanneissa8226 - 16.08.2021 15:31

Huenda ikiwakweli Yale manenotunayosikia kua hua anatumia ganja

Ответить
@kinakina3682
@kinakina3682 - 18.08.2021 15:37

Asman mallma

Ответить
@idaaman7489
@idaaman7489 - 19.08.2021 22:38

😃😃😃 wallah si ya kucheka

Ответить
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 - 02.10.2021 13:48

MASHALLAH

Ответить
@jonasifesto8505
@jonasifesto8505 - 30.10.2021 06:51

Kucha za nini shekh hizo

Ответить
@abuurauzwat1006
@abuurauzwat1006 - 09.12.2021 20:53

Kwaiyo wee mwanachuoni auu ?.

Ответить
@nooor1120
@nooor1120 - 16.01.2022 10:08

Sheikh wangu taratibu ukitoa mawaidha usihadithie na action km hivo mpk waskilizaji zikaja hisia nyengine.wewe zungumza tu km aliwakuta wako ktk kitendo cha jimai akampiga shoka ingefahamika .nisamehe iwapo nimekosea.

Ответить
@PRF_Muhammad_Bachu
@PRF_Muhammad_Bachu - 04.03.2022 10:35

Allah atustiri Mana hakuna aijuae kesho yake

Ответить
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 - 07.04.2022 14:24

Eheheh sheik una vituko kweli bwana wallah.. raha. Mashaallah

Ответить
@BOBO_CHANNEL
@BOBO_CHANNEL - 17.05.2022 13:48

🤣🤣🤣🤣🤣 hapa simfaidi nitamfata kwake kabisa

Ответить
@fatmasaid9765
@fatmasaid9765 - 20.05.2022 21:32

Shekhe huyu anapenda matusi

Ответить
@kulthumabdulrahman2915
@kulthumabdulrahman2915 - 30.05.2022 10:31

Mtihan

Ответить
@manja7684
@manja7684 - 30.05.2022 23:05

Eti wanazuoni kwa io wewe mwanazuoni?

Ответить
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 - 12.08.2022 05:15

Allah Subhaanahu Wataala atujaalie mwisho mwema
Amin Amin Amin

Ответить
@selemankishema5780
@selemankishema5780 - 16.08.2022 22:47

Mbona hana kosa alitenda jambo la hasira na akatoa adhabu stahiki ?

Ответить
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews - 26.08.2022 01:55

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ответить
@rukiaomar1091
@rukiaomar1091 - 26.08.2022 18:42

Maashallah Allah bark

Ответить
@mujibushamba4383
@mujibushamba4383 - 04.09.2022 19:16

Maashaalaah

Ответить
@mydearyasini7005
@mydearyasini7005 - 08.10.2022 15:45

Shekh msabaha

Ответить
@habibumadege6460
@habibumadege6460 - 14.10.2022 23:50

Assalamu alaykum, nduguzangu munaorikodi Darsa za shekh Salum Msabbah pamoja na Darsa za mashekh wengine kwajumla tunakuombeni mutuwekee namba ktkt masomo ilitujue kwamba hii ni Darsa nambangapi,

Ответить
@salhasadik366
@salhasadik366 - 25.01.2023 05:48

Nyie munomdhihaki shekh kwa kusema anafuga kucha hamjasoma dini sawa sawa nioneshe andiko gani linalosema muislamu kufuga kucha haramu acheni kuzuwa mambo bwana weye una mangapi yamesemwa yako ingelikuwa ni haramu hata nywele tusingeingia miskitini na nywele kubwa ........


Hemu tusomeni bwana tujue

Ответить
@salhasadik366
@salhasadik366 - 25.01.2023 05:49

Kasome kitabu cha Abdul kaadir jaylaani al ghunia swahfa 35 utaona kama haramu aw halali

Ответить
@fhyubhhh2881
@fhyubhhh2881 - 03.02.2023 22:25

Dah jamani duniani kuna mengi!! Allah atusitiri!!

Ответить
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 - 15.03.2023 13:55

Mtihan mkubwa jaman

Ответить
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 - 05.12.2023 22:18

😂😂😂😂😂😂😂😂😂 🤣 myashidwa

Ответить
@bitishoriziki1113
@bitishoriziki1113 - 05.12.2023 22:20

Ukaha a nihatari shehe

Ответить
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene - 02.04.2024 21:45

Mpuuzi huyu anahalalisha hadi miziki


Tena anaimba kabisa nyimbo ya feruzi - starehe

Ответить
@amohammed3390
@amohammed3390 - 23.04.2024 23:36

Tatizo anafikri akizungumza uchafu ndio atapata wateja. Hawa ndio wanaoichafua dini ya kışlamı. Dini ya kiislamu ni nadhwifu na ina hayaaa sasa yeye SALİM MSABBAH amesoma wapi haya. Mtume SAW ndio alivyokuwa akiwaaidh watu hivi

Ответить
@user-kx4wd5vb4j
@user-kx4wd5vb4j - 25.05.2024 16:29

Shekh Salum Msabah mimi nikiona post zako sizipiti ivi ivi mpaka nisikilize mawaidha yako yenye kina kirefu cha kuelimisha,, Allah akupe mwisho mwema inshaallah.

Ответить