Mwana Fa - Mabinti (Official Audio)

Mwana Fa - Mabinti (Official Audio)

Mziiki

10 лет назад

696,650 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@bennyngoye8707
@bennyngoye8707 - 05.11.2022 17:49

2022

Ответить
@inversedelcruise676
@inversedelcruise676 - 13.11.2022 13:35

Nov 13th, 2022 stil on fire,
Keeps good music alive

Ответить
@nopelz3989
@nopelz3989 - 20.11.2022 14:06

Like apa kama unasikiliza mabinti 2022

Ответить
@fauziashabibu1467
@fauziashabibu1467 - 30.11.2022 12:37

Daah huyu mwamba mimi namnyoshea mikono juu jamani daah nyimbo kali sana

Ответить
@charsemsafi4602
@charsemsafi4602 - 21.12.2022 20:51

King F.A

Ответить
@mwangizablon9625
@mwangizablon9625 - 24.12.2022 15:56

25/12/2022
XMAS DAY
bado mi na mabinti dam dam

Ответить
@hansimwakyoma3042
@hansimwakyoma3042 - 28.12.2022 19:08

Mkuu I ngoma bado tunaishi nayo video tafadhari

Ответить
@judithotieno2628
@judithotieno2628 - 05.01.2023 16:49

ma binti wana ku cheka

Ответить
@yohanambwilo1731
@yohanambwilo1731 - 06.01.2023 20:47

Mimi kama yohona huwa namwelewa sana hyu mwamba

Ответить
@yohanambwilo1731
@yohanambwilo1731 - 06.01.2023 20:47

2023 yohana mbwilo

Ответить
@bismarkumbili8826
@bismarkumbili8826 - 26.01.2023 19:51

Bongo flavor was excellent before Tanzanians started to sing amapiano and afro-beats. Tanzanians mtajilaumu wenyewe...

Ответить
@kingsleywesley4820
@kingsleywesley4820 - 17.02.2023 20:33

2023

Ответить
@iddyshabani5942
@iddyshabani5942 - 20.02.2023 13:07

2023 I'm listening

Ответить
@edwinswallo9602
@edwinswallo9602 - 28.02.2023 16:15

Nipo hapa 2023 tusomane

Ответить
@malamafyisamkanda5362
@malamafyisamkanda5362 - 19.03.2023 03:59

Dah Uyu jama katoka mbali sana adi Kawa NAIBU WAZIRI... Ananifanya na mm nizidi pigana huenda na mm Ipo Cku nitafika pale panapo nistairii 19/03/23 nikiwa Nairobi naisikiliza tenah iii nyimboo 💪💪

Ответить
@buruanisaidi2411
@buruanisaidi2411 - 25.03.2023 14:37

2023

Ответить
@mo_8712
@mo_8712 - 07.04.2023 10:29

2023💥💥

Ответить
@convilsabato7596
@convilsabato7596 - 14.04.2023 11:28

Binamu aka Falsafa, nyota yako izidi kung'aa

Ответить
@FranQ00
@FranQ00 - 04.05.2023 00:39

CHORUS
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam, (kweli kweli)
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh! × 2

Verse 1 (FA)

Wengine ndani jeans wengine ndani ya skirt
Wengine mini au magauni ya vitambaa vyepesi
Mradi istizahi wanipore uhuru wa nafsi
Weledi wa ajabu kwenye mambo ya chini ya paa
Kuna werevu wa ajabu kwenye mambo mengi bar
Hawanipi shida sio balaa
Na zaidi nawapenda mabinti watundu
Mapozi ya kichokozi au sio pozi vurugu
Mitindo ya kiyahudi hijabu zikatazo kichwa
Na mikogo ya kifisadi sio mmakini inapotosha
Unaona shanga za miguu naita vikuku
Ingawa wenye ufahamu nipotofu
Watoto wa ki9bongo hakuna mchezo
Kuna walatino waafrika na wasanta domingo
Kuna mpasua toka chini mpaka kando ya kiuno
Milango wazi kwa yeyote aliye na mdomo
Sijapoteza macho ya kuangazi warembo
Nakosa uzalendo nionyeshwapo miguu
Napata uchizi wa mtima
Choma fedha na muda sioni balaa
Natumai sifunzi hasaraa?
Ni hadithi na sio biashara
Ukishindwa Inshallah

CHORUS
Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam, (kweli kweli)
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh! × 2

Verse 2 (FA)

Kuna kifua kama cha zay B
Kiuno kama cha Ray C na pozi Jay D na sauti kama Fina
Au labda ya aunt Ndina ipo njema matabasamu
Kama binti Maumba wa kino Msio nidhamu
Mtafanywa mpende ngono Hold on!
Kuna pozi za kimtoni kama Tausi Likokola
Unataka ni full bakora mabinti wangali wanang’ara
Warefu warembo kama twiga mithili ya Happy Magese
Midomo kama ya Shose
Utapenda uonekane yaani viwanjani ututese
Au binti maarufu utasema Aina anatosha?
Kama nnataka mwanya nafahamu wapi ntaupata
Mwite Aminata wa keita
Binti wa vigogo unamtafuta Mboni Mhita?
Mwili utakaokufanya upende love kama wa Mercy
Na macho yanayovuta kama ya Miriam wa Ikoa
Unaweza utangaze ndoa
Wengine mziki kama Shanice
Au kama connie stephans
Naiota rangi ya Caroline na lugha tamu kama ya Seven
Najua mnawaita masister Du! bendera hewani
Sometimes wavute widdy Mentally japo wazuri
Mithili ya Kibibi
Miondoko kama Faudhia
Au ungependa kithethe mithili ya Radhia
Watoto wa shule wasiwafanye mpagawe
Ilhali kuna wenye haiba kama Halima Bandawe
Mi kwa mabinti -nisahauliwe


*{Chorus}*

Verse 3 (FA)
Kuna mabinti wapo kamili kila idara familia bora
Akili zisio lala maumbo bomba na sura
Kuwapata ni full Gospel wao ni ajira na hawaitaji zaidi ya sera
Kuna mitego ya khanga mambo kitanga
Kama una jichohii unapaswa kuwa umeiona
Michirizi ya utamu nyuma ya goti mimi hoi
Una moyo hai hili sio toi pigo jingine kama Sunset
Ubishi haufai ona visa kwenye mitindo ya vichwa
Anuani pepe za mitandano na simu zinawehusha
Ukitaka upgawe njoo kiwanja
Jaribu kuwa mkweli nionapo vitovu wazi hakuna si mahututi mimi
Kuna wadada, wamama, masister du wote wapenzi
Wana nataka staki sio kamanda naachia ngazi
Omba majina Amina kawa Amayna, Naima ,Clara na Rayyah!
Kuna Tayana,Aneth hata bongo kuna Aaliyah?
Candy, Nicole, Uenice au labda Marayah
Sikitu hataki jina na Asia anaitwa Eshia
Pamba hazibani ni hatari
Ni makusudi tuone mstari wa kufuli mambo ya kivazi
Wachumba wote mpo pina wote funga kazi
Msiache washkaji wawafanye watumwa nyia ndio mama
Anayewaponda apate laana

CHORUS

Yaani shwari hamna shari
Mi na mabinti damdam, kweli kweli
Sababu zipo wazi mwenye macho aone enhh! × 2

Ответить
@mduda_i
@mduda_i - 11.05.2023 10:45

may 2023 here we are

Ответить
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 - 19.05.2023 16:31

Legendary, Umetisha, Kipindi hicho ngoma ilikuwa ya moto.

Ответить
@mauandundu1556
@mauandundu1556 - 17.06.2023 15:12

2023 bado inatamba tu

Ответить
@stonedicksonkisamo809
@stonedicksonkisamo809 - 18.06.2023 22:59

Hata bongo kuna Aaliyah 😊 1979 - 2001

Ответить
@tshishimohamed9086
@tshishimohamed9086 - 13.07.2023 15:13

Ответить
@MozaOmar
@MozaOmar - 25.08.2023 17:21

08/2023 still 🔥

Ответить
@allyfatma7359
@allyfatma7359 - 29.08.2023 10:05

2023.mabinti fire.

Ответить
@ukuvukiland2387
@ukuvukiland2387 - 18.09.2023 04:54

Ups,those time ,pamoja...😂😂😂

Ответить
@mosesmaryz3535
@mosesmaryz3535 - 20.10.2023 11:21

Best rapa wa mda woteee

Ответить
@kassimdadi5406
@kassimdadi5406 - 21.10.2023 22:02

Audio yake naitaka

Ответить
@stevendominic1844
@stevendominic1844 - 30.11.2023 20:10

Video kaitoa,ilikuwa na video tamu sana

Ответить
@stevendominic1844
@stevendominic1844 - 30.11.2023 20:10

30/11/2023 tuko pamoja

Ответить
@frankmichael9866
@frankmichael9866 - 19.12.2023 11:30

One of the intelligent musicians Tanzania has ever had.

Ответить
@evarist8477
@evarist8477 - 23.12.2023 00:55

1 am leaving a comment so that after a month, or a year, or a decade when someone likes it, i get a reminder to listen to this beautiful song again….. Mwanzaaaa

Ответить
@dj_frankas_254
@dj_frankas_254 - 14.01.2024 15:01

Wapi w 2024

Ответить
@marwajoseph8060
@marwajoseph8060 - 17.02.2024 23:02

Kiukweli mziki ulikuwa zamani siyo huu wa Sasa chituhori

Ответить
@iddyhussein7119
@iddyhussein7119 - 27.02.2024 02:02

2024

Ответить
@godwinmasoud7180
@godwinmasoud7180 - 03.03.2024 01:08

Shose

Ответить
@ashrafzahoro7876
@ashrafzahoro7876 - 03.03.2024 22:38

Anaesikiliza mabinti 2024 gonga like

Ответить
@gerladmwakalambile8966
@gerladmwakalambile8966 - 19.03.2024 16:44

Ni hadithi na siyo biashara, ukishindwa inshallah

Ответить
@BraveMajaliwa-gf7ru
@BraveMajaliwa-gf7ru - 14.04.2024 12:44

Ngoma kali mpaka miaka hii ❤

Ответить
@nachaone5983
@nachaone5983 - 18.04.2024 07:20

2024

Ответить
@xumathe1
@xumathe1 - 28.04.2024 21:26

NA HUYU JAMAA Ana deserve nafasi aliyopewa nyimbo nyingi ameinba fact sana ,havai ovyo ovyo then sio mtu wakuimba namabint sanaaa😂😂auu mbambiaji

Ответить
@MgosiMgosi-qw1fm
@MgosiMgosi-qw1fm - 02.05.2024 12:46

Mi napitia kidogo tu hii Ngoma nakumbuka mbali sana wakongwe wenzangu

Ответить
@samid090
@samid090 - 04.05.2024 11:57

Mabinti my fav

Ответить
@MgosiMgosi-qw1fm
@MgosiMgosi-qw1fm - 29.05.2024 17:28

We namabint dam dam enzi zangu nilikua taxi driver hatali.

Ответить
@signecha_
@signecha_ - 22.06.2024 21:32

Nai play nikitoka msalato kula nyama choma....Binamu ni something else aisee....

Ответить
@ezekielkishimba2719
@ezekielkishimba2719 - 15.07.2024 13:40

15 july 2024🇹🇿🇹🇿

Ответить
@fredyelifuraha2553
@fredyelifuraha2553 - 27.07.2024 13:20

Naisikiliza hii Ngoma leo - 27 July 2024

Ответить
@Costahenryy
@Costahenryy - 11.08.2024 09:02

Masterpiece 🔥

Ответить