Mwenge wa Uhuru umekamilisha ukaguzi wa Uzinduzi na uwekaji wa mawe ya Msingi katika miradi 6 Wilayani Rungwe ambayo inaghalim zaid ya 2. Bilioni.
Miongoni mwa miradi iliyofikiwa na mwenge ni pamoja na Mradi wa maji Ikuti ambao utagharimu kiasi cha Tsh 1,403,992,393 na unatarajiwa kuhudumia wananchi zaidi ya 9800 katika viji viwili Ikuti na Lyenje vilivyo kata ya ikuti.
Akizindua mradi huo kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Abdala Shaib Akim amefurahishwa na ujenzi wa mradi huo sambamba na kuagiza uongozi wa Wilaya hiyo kuhakikisha wanamuingizia maji bure Mwananchi aliyetoa eneo Hilo pia ameagiza apewe kifuta jasho kwa uzalendo alio fanya ili iwe chachu kwenye Jamii na wanchi wengine.
#mwengewauhuru #mbeya #maendeleo #Mamakazini #MamaKaja #Mamaanafanikisha #Tanzania #Tanganyika #Dodoma #katavi #iringa #Rukwa #sumbawanga #Mpanda #Singida #shinyanga #morogoro #Pwani #Tanga #Mtwara #Lindi #ruvuma #Songea #Njombe #Mara #Manyara #Babati #Butiama #BabawaTaifa #Arusha #Songwe #Chunya #Moshi #Mkwajuni #Mbuyuni #Makete #Kigoma #Kagera #Mwanza #Bukoba #Ujiji #Sengerema #CleverMediaTz