SINTOFAHAMU NYUMBANI KWA SATIVA ALIYETOWEKA RAFIKI YAKE ASIMULIA A TO Z "SIMU ZAKE HAZIKUITA TENA"

SINTOFAHAMU NYUMBANI KWA SATIVA ALIYETOWEKA RAFIKI YAKE ASIMULIA A TO Z "SIMU ZAKE HAZIKUITA TENA"

Millard Ayo

1 месяц назад

60,324 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@AngelaMollel
@AngelaMollel - 30.06.2024 17:43

Kwani amekosea nn ? Na kama amekosea nisawa2 hakuna binadamu aliyekamilika ata kama ametembea na mke wa mtu siyo kwa mateso hayo kikubwa Mungu amemufunika mpaka sasa yuko hai Mungu ataponya

Ответить
@Vinchi255
@Vinchi255 - 30.06.2024 07:40

nimesoma comment nimegundua kuna watu wengi wanaoishi ukanda wa mbezi wanatoweka na hawajulikani walipo...Tatizo ni nini

Ответить
@superwomanmwenyeheri.1367
@superwomanmwenyeheri.1367 - 30.06.2024 07:16

Huyo due aliepatikana katupwa msituni huko Arusha?
Kama alitekwa vile kutoka Dar?

Ответить
@mariajames5558
@mariajames5558 - 30.06.2024 03:36

Mmm yaan inaumiza sana

Ответить
@asteriashios1852
@asteriashios1852 - 29.06.2024 07:18

Tanzania na watu wasiojulikana nchi ya mama Samia kwanini Hilo?

Ответить
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku - 28.06.2024 22:34

Yani inaumiza sana

Ответить
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 - 28.06.2024 22:20

Nchi hii daah😢 mambo haya yana rudi sasa 😢

Ответить
@Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin
@Cryptocurrency_bitcon_Pi_Coin - 28.06.2024 13:41

Oy wazee mm nina shida na uyoo jamaa anae hojiwa hapo Taivana mc ... Anajulikana vipi kwa social medias

Ответить
@user-it7qs3nh4o
@user-it7qs3nh4o - 28.06.2024 07:53

Dah J polen sana mwanangu

Ответить
@wahidamohammed7294
@wahidamohammed7294 - 28.06.2024 00:51

Hivi hi sehemu anayoishi usiku anarudi vipi?mmmh

Ответить
@MohammedMwinjuma
@MohammedMwinjuma - 27.06.2024 23:33

Mmmhh

Ответить
@msabatozeson9023
@msabatozeson9023 - 27.06.2024 23:13

TAIVINA I SEE U

Ответить
@user-hf1wo3zd2m
@user-hf1wo3zd2m - 27.06.2024 22:00

Kikubwa amepatika

Ответить
@AloyceTz762
@AloyceTz762 - 27.06.2024 22:00

𝗠𝗶𝗺𝗶 𝗽𝗶𝗮 𝗻𝗶𝗺𝗲𝗺𝗽𝗼𝘁𝗲𝘇𝗮 𝗷𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗬𝗮𝗻𝗴𝘂 𝘆𝗮𝗮𝗻 𝗔𝗺𝗲𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗲𝗹𝗲𝗸𝗲𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗔𝗺𝗲𝗮𝗴𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗺𝗸𝗲 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝘃𝗶𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗷𝗶𝗼𝗻 𝗠𝗱𝗮 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗸𝗮 𝗸𝗮𝘇𝗶𝗻𝗶 𝗝𝗮𝗺𝗮𝗮 𝗵𝗮𝗸𝘂𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝗮𝗱𝗶 𝗟𝗲𝗼 𝗺𝗶𝗮𝗸𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝗠𝗶𝗻𝗻𝗲

Ответить
@mahambamujengwa8059
@mahambamujengwa8059 - 27.06.2024 17:46

Get well soon broh

Ответить
@pumpandnozeltec3019
@pumpandnozeltec3019 - 27.06.2024 16:45

MAMBO YA MATUSI AYO SIO MAZULI JAMANI😂

Ответить
@georgebrown7391
@georgebrown7391 - 27.06.2024 16:23

Two years back nilikuwa nafanya nae mazoezi mkwajuni
But Leo hii inauma sana kusikia tarifaa hii😢

Allah amfanyie uwepesi

Ответить
@YakoboDaudi-hp2mt
@YakoboDaudi-hp2mt - 27.06.2024 15:12

Miradiayo, nami Nina taarifa hapa naomba mnisaidie kunipazia sauti! Nimetafuta namba zenu nikazikosa, Niko mwanza!

Ответить
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 - 27.06.2024 14:55

Dar napaogopa sana, na ndio nahamishiwa huko kikazi. Da!

Ответить
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 - 27.06.2024 14:30

Post yake ya mwisho imemponza

Ответить
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 - 27.06.2024 14:27

Kwaiyo Mama nae ameamua atuteke sio.. 🙄🙄

Ответить
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations - 27.06.2024 14:23

Kuna video imewekwa kwenye akaunt ya samsago inaonyesha kaonekana huyo SATIVA, kaonekana Katavi, ila amepigwa sana, wanaemfaham kwa sana watembelee akaunt ya samsago.

Ответить
@rewardyesse7314
@rewardyesse7314 - 27.06.2024 14:23

Taivina,sativa na sadati,,,hizi AKA kulikoni

Ответить
@RichWise671
@RichWise671 - 27.06.2024 13:27

Kapatikana katavi yu Hoi 🙌🙌🙌

Ответить
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f - 27.06.2024 12:43

Amepatikana kapigwa sana Mungu amsaudie apone😢

Ответить
@user-vz6kk8id2f
@user-vz6kk8id2f - 27.06.2024 12:24

Daaah huyu ndorafiki wa kweli

Ответить
@CalvinCosta-rq6ql
@CalvinCosta-rq6ql - 27.06.2024 12:00

Dogo amepatikana leo ila kaumia

Ответить
@rosehaule6765
@rosehaule6765 - 27.06.2024 11:34

Uenda amegogwa na Gari jamani Mara nyingine inatokeq mtu kagigwa vibaya mpaka ajulikani Mungu

Ответить
@yassinmrishoyassinmrisho6573
@yassinmrishoyassinmrisho6573 - 27.06.2024 11:27

Jamaa kapitikana ila wamempiga sana 😢

Ответить
@motiruhega
@motiruhega - 27.06.2024 11:25

Tunamshukuru Mungu Amepatkana salama ila amepigwa vbaya sana 😢😢

Sa iv dar imebadilika imekua ya kutekana kuuwana Kila sku inahuzunisha sana

Ответить
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ - 27.06.2024 11:10

Ukisoma ripoti za haki za binadam kuhusu Tz mmmh sio sehem salama saaana , tena kuna balozi wameanisha maenezo ambayo ni hatari kuishi au kutembelea nyakati za usiku na maeneo ya mbezi , kimara wamejaa watu wa kaskazini kuna matukio ya ujambazi saaana

Ответить
@vibetz9991
@vibetz9991 - 27.06.2024 11:07

Au Kuna MTU alipigwa mamillion kwenye betting,,,, akasema sikubari

Ответить
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t - 27.06.2024 10:44

Kumbe hii ya kupotea watu kwenda wasikojulikana bdo ipo??duh!!!!!!!nikajua maguful alikufa nayo

Ответить
@martinamahenge4476
@martinamahenge4476 - 27.06.2024 10:30

Huyu ndio rafiki wa kweli ❤😊

Ответить
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y - 27.06.2024 10:06

Jeshi la polisi na vyombo vyote vya usalama linajificha hamnazo kila siku watu wanapotea tu

Ответить
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 - 27.06.2024 09:35

Ni hiyo post ya mwisho

Ответить
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 - 27.06.2024 09:11

Huyo rafiki pia si wa kumuamini wambane tu siri itajulikana. Siku hizi hakuna ndugu wala rafiki wa ukweli ni tamaa kwenda mbele!

Ответить
@collinsstanley6126
@collinsstanley6126 - 27.06.2024 08:50

Kama Gaza

Ответить
@husseinlatifa1443
@husseinlatifa1443 - 27.06.2024 08:44

Kwanini mtangazaji anamuhoji mtu uku anaangalia pembeni? Naona ni kama dharau hivi!

Ответить
@davicekombe4932
@davicekombe4932 - 27.06.2024 08:14

Dah hadi chozi limenitoka 🥺

Ответить
@lelaiddy6856
@lelaiddy6856 - 27.06.2024 08:10

Kina partnership haoo

Ответить
@alfredsaliga1554
@alfredsaliga1554 - 27.06.2024 07:25

Au kaenda kenya kwenye maandamano

Ответить
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl - 27.06.2024 07:22

Subuhanallah. Mtihani

Ответить
@jaymotz7523
@jaymotz7523 - 27.06.2024 07:01

Taivina ni rafiki haswaaa

Ответить
@emmanuelmwasyoge2053
@emmanuelmwasyoge2053 - 27.06.2024 06:44

Mwenyewezi Mungu amlinde ,arudi akiwa mzima kabisa

Ответить
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations - 27.06.2024 06:38

Inaumiza sana kiukwel, na mimi nimempoteza ndg yangu hapo hapo dar Mbezi Beach, tokea tarehe 31 ya mwezi wa 3, na had leo hatujafanikiwa kumpata, inaumiza sana kiukweli hili swala. Mungu abarik aonekane na tuwapate ndg zetu wote waliopotea.

Ответить
@pceodhc
@pceodhc - 27.06.2024 05:51

Mungu Aliye hai amlinde na kumrudisha salama kwa familia yake Katika jina la Yesu! Amen!

Ответить
@HassaniMohamedi-lk7ow
@HassaniMohamedi-lk7ow - 27.06.2024 05:44

UMOJA NI NGUVU KIJANA APATIKANE

KIJANA ASIYEKUWA NA SHIDA NA MTU🙏

Ответить