Комментарии:
R. I. P uncle Magu
ОтветитьMwongooo
ОтветитьWewe acha propaganda memorandum or memorndamly😅😅😅
ОтветитьMUNGU AKULINDE MZEE KIKWETE UISHI MAISHA MAREFU , TUNAKUPENDA SANA BABA YETU
ОтветитьMmh .....
ОтветитьMmnafiki tuu
ОтветитьAcha uongo jpm sasahivi hayupo mnaanza uongo, Jpm pesa alipata wapi mpaka akauanza huo mradi
ОтветитьTutake tusitake mtake mistake huyu ndiye msitafu wetu aliye baki tumuombe mungu amlinde mwanzo mwisho hunaona kenya wazee hawapo wamebaki wahuni moto unawaka❤❤❤❤❤.
ОтветитьFix! Fix! Fix!...
ОтветитьMwongo, mwongo mwongoóooooooooooooooo!! KAZI YA MWENDA ZAKE!!! Mwongoooooooooooo!
ОтветитьMhhh mlikalia tu ufisadi,na bandari umegawana, RIP JPM
ОтветитьAcha wivu baba magufuli ndio mwanzilishi acha uongo
ОтветитьMagufuli bado anaonekana katika kazi zake ,halafu hebu msiongelee makaburasha ninyi kazi yenu ilikuwa upigaji tu hizo zote ni kazi za magifuli ninyi ilikuwa kazi yenu ni upigaji na kurandaranda duniani kula raha mkaacha kujenga nchi yenu leo mnajikosha tu hapo ,ngoja tunaendelea kumwomba MUNGU ipo siku tutapata Raisi kama magufuli tena kwani sasa hatuna viongozi sirious
ОтветитьWatanganyika sio wajinga magufuli ndio anae julikana kwa hili alikuwa nanguvu kubwa ila nyie mlikua nampango wa kuuza bagamoyo ngorongo kuleta wawekezaji kumbe ni wezi
ОтветитьJpm hana mpinzani wengine wanaona aibu hata kama wanajitaidi kuficha ya jpm
ОтветитьGood job
ОтветитьReli ya Magu ilikuwa hata reli ya Mjerumani ingekuwa scrapers
ОтветитьJpm
ОтветитьMh. John Pombe Joseph Magufuli
ОтветитьMh. John Pombe Joseph Magufuli
ОтветитьMh. John Pombe Joseph Magufuli
ОтветитьSema pesa zilikuwa zinaishia mifukoni mwenu jpm jpm hakika sema tu ukweri magu chuma kweri kweri
ОтветитьKuna miniature yahovyo humu eti tumuombe mungu amulinde acheni kumsumbua mungu
ОтветитьMafuli amewapa changamoto viongozi wore walio pita cc yetu macho
ОтветитьHata kama! Magufuli hakuanzisha yeye bali alitekeleza ROADMAP ya watangulizi wake So kila kiongozi alifanya sehemu yake!!!
Ответить