Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | Hit Gospel Video Song

Bahati Bukuku | Dunia Haina Huruma | Hit Gospel Video Song

Bahati Bukuku

8 лет назад

13,678,956 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

Sharon Chama
Sharon Chama - 20.09.2023 19:36

Wonderful song

Ответить
Tuyizere Ghadi
Tuyizere Ghadi - 20.09.2023 18:45

Dunia-a-a-a-a.
dunia haina huruma x2
dunia haina faida,
dunia haina undugu,
na maisha yangu,
dunia haina huruma mwenzenu nasema,
ni asubuhi na mapema simu ya mkononi inaita,
naitazama kwa makini ni namba ya mume wangu,
sauti ya mwana mke inasikika, inayorarua moyo wangu,
moyo wangu unafura hasira, kwa taarifa ninazo pata,
haloo, neenda muhumbili kachukue mzoga wako,
namuuliza ni nani mwenzangu, ananijibu kwa kejeli,
mimi ni mke mwenzio kama hutaki potezea, 
nawatafuta ndugu na jamaa waliokuwa kwenye simu yangu,
ili niwaambie taarifa hizi zilizo rarua moyo wangu,
dunia, haina huruma,
ninafika hosipitali, 
ninawakuta watu wa mochwari maneno wanayoniambia yanaumiza moyo wangu,
aaah yule mgonjwa aliyeletwa jana aliyepigwa kwenye fumanizi,
tulipomwangalia tuligundua hajafa kwa hivyo yuko kwenye chumba cha watu maututi.
ninafika kwenye chumba cha wagonjwa maututi,
namkuta mpenzi wa roho yangu amepoteza fahamu hawezi nitazama,

[hili ndilo patano letu mume wangu,
na hapa ndipo jijini mbeya, mume wangu,[ x2

Ответить
Grace Amran
Grace Amran - 19.09.2023 13:22

2023 bado nabarikiwa sana kweli na hizi nyimbo wamama tukase kumuomba mungu azidi kutuletea 🙏🙏🙏🙏🙏

Ответить
sakina Keneth
sakina Keneth - 19.09.2023 11:50

😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

Ответить
IRIHO TV
IRIHO TV - 19.09.2023 07:03

Thank you so much my sister

Ответить
B.mutinda
B.mutinda - 18.09.2023 10:21

Surely

Ответить
Dieu-aimé KUBWIMBABAZI
Dieu-aimé KUBWIMBABAZI - 17.09.2023 17:56

Im burundian and ninashukuru saana kwa ajili ya wimbo huu.Nyumbani kwetu hatutumii kiswahili lakini wimbo huu ulikua ukipigwa bila kusikia unamanisha nini.nilipokuja kuuelewa nilipumzika na nikaelewa maana ya msamaha kbisa.
Mungu kabariki mwana kike wake kwa kazi nzuri

Ответить
Bella Tembem
Bella Tembem - 17.09.2023 15:42

😢😢😢

Ответить
esther Night
esther Night - 17.09.2023 13:13

For me i just love it👌👌

Ответить
King Dabal
King Dabal - 17.09.2023 08:53

This song made me to cry i love the beat of this song

Ответить
mariah nathure
mariah nathure - 17.09.2023 08:10

I love the ending ❤

Ответить
Magret Mbonelove this song inanikumbusha mbali
Magret Mbonelove this song inanikumbusha mbali - 16.09.2023 17:33

Hayo yamenitendea hiwimbo inaongea ukweli 😮😢

Ответить
Norman Chikoloma
Norman Chikoloma - 16.09.2023 08:05

What a great song, is teaching many things 😂😂😢

Ответить
Jwanyoike
Jwanyoike - 15.09.2023 08:12

Listening this song on 15/09/2023 after serious depression from the death of my mother 😢and continued suffering after the family turned against us😢 probably I feel like I want to commite suiced 😢 reporting this from Karatina Nyeri 🥺RIP TO ME IN ADVANCE 🥺

Ответить
Kasee Jancita
Kasee Jancita - 13.09.2023 20:14

Tends wema nenda zakoq

Ответить
Nacy Munthali
Nacy Munthali - 13.09.2023 16:40

Nice

Ответить
Jackson Amugune
Jackson Amugune - 13.09.2023 06:16

Thank to the Lord 🙏🙏🙏🙏

Ответить
Trizah Akinyi
Trizah Akinyi - 09.09.2023 20:04

This song is really teaches us

Ответить
Mercy Kasandi
Mercy Kasandi - 09.09.2023 19:30

It's true hii dunia tunapitia😢😢😢

Ответить
هاجر الدوسري
هاجر الدوسري - 09.09.2023 16:58

Nyimbo nzuri

Ответить
Faris Hamisi
Faris Hamisi - 03.09.2023 09:13

Niko Congo Drc

Ответить
Faris Hamisi
Faris Hamisi - 03.09.2023 09:12

Mungu akubariki mama,uhishi myaka mingi katika djina la yesu

Ответить
Barbara Kasonka
Barbara Kasonka - 03.09.2023 00:03

This song touches my heart... I can play it several times... Mimi naipenda sana

Ответить
Namawa Sarah
Namawa Sarah - 30.08.2023 20:55

Mungu akubariki sana labutha LA wimbo hi

Ответить
Namawa Sarah
Namawa Sarah - 30.08.2023 20:52

Bwana nataka kuntegereza na Mungu,wimbo safi sana

Ответить
Edina Ndimuaba
Edina Ndimuaba - 29.08.2023 22:55

Siyo wa mama tu kila MTU anaupenda gingers bahati❤

Ответить
Nadzuwa Mangale
Nadzuwa Mangale - 29.08.2023 15:05

😭😭😭🙏🙏🙏

Ответить
Buyaki Wetoyi
Buyaki Wetoyi - 27.08.2023 02:24

After I was raped and no one believed me too young to be strong and family betrayal thats when this song became my anthem😢😢😢😢😢

Ответить
Diaz Mine
Diaz Mine - 27.08.2023 01:31

How i wish i can understand all words in English it was my metron back in secondary that explained me the song in English since i liked it en i found it so touching 😢oh dunia

Ответить
faith mwende
faith mwende - 26.08.2023 22:37

Wamama jameni Tuko na kazi

Ответить
Laston Tembo
Laston Tembo - 26.08.2023 07:10

It is touching song

Ответить
Gerald Masengesho
Gerald Masengesho - 25.08.2023 05:53

Mungu dusaidie

Ответить
Namawa Sarah
Namawa Sarah - 24.08.2023 08:30

But consider the life after hear

Ответить
Namawa Sarah
Namawa Sarah - 24.08.2023 08:29

Jesus is the way the truth and the life

Ответить
Namawa Sarah
Namawa Sarah - 24.08.2023 08:28

Awesome

Ответить
Cate Shee
Cate Shee - 23.08.2023 22:07

Wueeh you'll never understand this song if you're not in marriage 😭

Ответить
Deborah Musanga
Deborah Musanga - 23.08.2023 08:55

I love this song am from Zambia

Ответить
Shamim Hegen
Shamim Hegen - 21.08.2023 20:26

My husband left with a month old baby for my friend and i went through cs😭😭😭 kweli Dunia haina hutuma 😓

Ответить
Rashadi Mbutule
Rashadi Mbutule - 21.08.2023 14:51

Kwel dunia aina huruma🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Hila daaahh maisha ya ndoa inatakiwa kujipanga na kukabiliana na kila changamoto. Nawapa ongera sana walio ktk mahusiano ya ndoa kuanzia miak kumi na kuendelea maan wamekuwa wavumilivu sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.

Ответить
Adnan Januzai
Adnan Januzai - 20.08.2023 23:07

A good gospel nkiskia nalia tu😢😢😢

Ответить
otakwa milichen
otakwa milichen - 20.08.2023 15:28

Kweli Dunia Haina huruma

Ответить
Malisela K Sika
Malisela K Sika - 20.08.2023 11:28

Wamamakatikatowamajaribumegesana

Ответить
Shaddy Ogoti
Shaddy Ogoti - 20.08.2023 07:40

This song reminds me Alot😢

Ответить
Emma mapenzi Mapenzi
Emma mapenzi Mapenzi - 19.08.2023 14:53

😢😢😢😢 dunia haina huruma..l love this song..feel loved bahati

Ответить
Bijou Kibundila
Bijou Kibundila - 18.08.2023 07:58

❤Amina. Dada Mungu niko muweza yote

Ответить
Magrab Kondowe
Magrab Kondowe - 17.08.2023 23:04

❤❤

Ответить
Landry Igirubunt'u
Landry Igirubunt'u - 17.08.2023 15:03

Mungu atusaidie sisi wa Maman kwl kwaju dunia haina buruma kbx

Ответить
Jimmy Zulu
Jimmy Zulu - 16.08.2023 18:24

This in house even the at large we it here in Zambia

Ответить
Daines Kyamy
Daines Kyamy - 16.08.2023 18:18

AAA tunateswa

Ответить