Комментарии:
Mbowe ukiharibu hicho chama Kuna watu wengi sana watakufa kwa machungu
ОтветитьMbona mmemtenga lisuu anafanya mkutano sahii kijijini kwao tu
ОтветитьHoja atutaki uwe mwenyekitu
ОтветитьSafi sana
ОтветитьWachaga mafisadi tu
ОтветитьOne love Mbowe ✌️💪
ОтветитьChadema bila mbowe kwa sasa kimekufa kwani ccm inaitaji mwenyekiti zaifu ili chama kife kama vingine nanyi viongozi wa chadema jichunge na uchochezi wa makada wa ccm ndani ya chama chenu kwani mbowe alikipigania bila kuyumba japo amepoteza mali zake na misukosuko ni kwa sababu ya nguvu na uimala wake mfano ni juzi tu msigwa na sugu mbowe anafaa kipindi iki cha kurudisha uhai wa chadema
ОтветитьMbona lisu hayupo
ОтветитьPresident wangu kila ukiongea maneno yako uniimiza kuwa mtu sahihi kwa siasa...
ОтветитьMakonda ndo kashusha nguvu ya Arusha ata Lema analijua hilo Ujio wa makonda Arusha na gia aliyoingia nayo kusikiliza kero za wananch itadididmiza sana nguv ya upinzani Arusha
ОтветитьWachadema Taasisi yao
ОтветитьAsante kamanda mbowe. Umebarikiwe
Sana isitoshe upinzani mko vizuri. Wenye kuvuruga Amani Chama tawala. Halafu anasema upinzani mnavugu. Si kweli
Duu
ОтветитьUongozi wa juu wa Chama unapashwa kushughulikia mambo ambayo yanaleta mgawanyiko na matengano kwenye Kanda na Kitaifa kwa ujumla wake.
Na huu ni wakati ambao umakini unahitajika sana, maana wapumbavu wa upande ule huu ndio wakati ambao huwa wanautumia kuleta mafarakano na kuanza kuwanunua wale walio virus kwenye Chama.