JAIVAH amchana vibaya CHINO KIDD ‘Hana Shukrani, MARIOO ameumia mno, amejiondoa, amemuacha aendelee'

JAIVAH amchana vibaya CHINO KIDD ‘Hana Shukrani, MARIOO ameumia mno, amejiondoa, amemuacha aendelee'

Simulizi Na Sauti

8 месяцев назад

98,068 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@mustafaabubakhar
@mustafaabubakhar - 12.02.2024 12:26

jaiva kuimba aujui ila interview wewe ni fundi wakusanua story kwa upana wake .

Ответить
@IsmailMartini
@IsmailMartini - 12.02.2024 13:33

Chino kakosea kuongea sana itamkosti kwa sababu mashabiki wa marioo watu wanaomsapoti ni rafiki wa marioo yeye katokea kwa marioo kwa kumtaja kwenye nyimbo zake marioo yeye hangekausha tu hatakosa vitu vingi unajuwa hanajiona msanii mkubwa hata hizo shoo hanazopata inawezekana zinapitia kwa marioo na yeye hanaziizinisha hira yeye hanaweza hakaona mambo yake yanaenda kumbe kuna watu nyuma wamekaa kimnya kwasabu mtu haingize hera yake kwa chino bira kupata ushawishi kutoka kwa marioo sio kweri

Ответить
@NiceJoram-pl7vf
@NiceJoram-pl7vf - 12.02.2024 14:46

Hapo kwenye choni ndo sijaelewa 😂😂😂😂😂

Ответить
@sophsoph4740
@sophsoph4740 - 12.02.2024 15:40

Tabia mbayq mnamuonea wivu

Ответить
@marijaniabdallah8029
@marijaniabdallah8029 - 12.02.2024 16:47

Hyuu ni msemaji wa mario anachokisema yeye ndo mario atasema hvyo hvyo

Ответить
@Sophia-b2m7o
@Sophia-b2m7o - 12.02.2024 16:59

Kafanya sio poa

Ответить
@DENDEGOABDUL
@DENDEGOABDUL - 13.02.2024 00:06

Jaivah! Kanena ...lakn the best way is to reconcile... and clear there diffences ...feuds na grief! sio poa sana ...as binadamu, as vijana watafutaji, as artist ambao mlikua closer ...yawekeni sawa muyamalize! ...kugombana kwetu ss binadamu ni kawaida sana ..kwaio tusiyashikilie sana haya mambo ....pia akina Chino waache mauswahili mentality cz bado wana

Ответить
@hamisiyangakozwe147
@hamisiyangakozwe147 - 13.02.2024 00:21

Sema jaivah jaivah

Ответить
@yonasytitusy337
@yonasytitusy337 - 13.02.2024 00:39

Uyo jaman anaga sifa za usanii

Ответить
@yonasytitusy337
@yonasytitusy337 - 13.02.2024 00:42

Ulifanya wap iyo show

Ответить
@officialvicetz
@officialvicetz - 13.02.2024 08:06

Jaivah vile anaongea unajua kabisa kasoma ana Shule.

Ответить
@a2comedy36
@a2comedy36 - 13.02.2024 11:06

Jaivah umeonesha ukumbwa wako wa umli kwa sababu ya busala zako

Ответить
@johngongana670
@johngongana670 - 13.02.2024 11:58

Mnachosha na unafik mwingi......

Ответить
@RajabuIddih
@RajabuIddih - 13.02.2024 15:05

To me I think dogo aachwe aendelee na maisha yake kama alivyotaka cause ameshahis anajiweza kwa Kila kitu bt the bad thing it's chino kueneza ubaya kuhusu Jaivah and Marioo it's really bad to him,,,Mimi namshaur afocus kwenye music wake aache huo ushamba anaouongea kwenye media bhasi.. sema Jaivaaah Bonge la Moja la interview aisee Yuko really kinoma much respect to Jaivaaah🔥

Ответить
@kevinjames3177
@kevinjames3177 - 13.02.2024 15:22

anajikuta sn braza nawakati chalii

Ответить
@mbarakaabdallah6526
@mbarakaabdallah6526 - 13.02.2024 18:13

Daaah jamaa limeongea fresh sana halaf halimbukii umaarufu anajua namna ya kucheza nao

Ответить
@khayrahhamid3297
@khayrahhamid3297 - 13.02.2024 18:38

Oya mumemuonea sn chino bn😮

Ответить
@Adeen.1
@Adeen.1 - 13.02.2024 19:41

Fanya unqchofanya elimu ya msingi sana...he sounds smart kwasababu ni msomi CBE graduate huwezi mlinganisha hata na diamond japo ana hela na exposure...mtizame anavyojieleza utaona power ya education

Ответить
@ayubujumaTZ
@ayubujumaTZ - 13.02.2024 22:14

Katika maisha iyo siyo sababu mbn na Chino kawabeba sana jaivah marioo wote wanafik tu😂😂😂😂😂

Ответить
@SechaDestry-cg3ny
@SechaDestry-cg3ny - 14.02.2024 00:49

Awa jamaa jau wanaficha makucha masnicht live

Ответить
@unknown-zz8ih
@unknown-zz8ih - 14.02.2024 05:15

Huyu jamaa anachuki na Chino ukifuatilia anachoongea maana chino kwnye interview yake hakumuongelea sana jaiva kiivyo

Ответить
@godyemersonnyabuhoro6137
@godyemersonnyabuhoro6137 - 14.02.2024 10:12

Ila jama kajishinda mweneyewe wew unawezaje kusema kama ulikuwa hujuwi nawakati wewe ndo ulichaguwa hata jina ya show😳😳😳

Ответить
@juniorchobobachaboba1581
@juniorchobobachaboba1581 - 14.02.2024 10:49

this guy is so smart aiseee

Ответить
@timotheojustin8274
@timotheojustin8274 - 15.02.2024 00:10

nimeona jina la smart limejirudia sana vp wanangu mme left group nn wajomba

Ответить
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone - 15.02.2024 01:26

Jaiva hana ukweli wowote nimunafiki tuuu

Ответить
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone - 15.02.2024 01:29

Wewe sema mnataka kumushusha chino,kam umetoa jina,sasa mwenye jina anasemaje,au unajitapa tu hapa

Ответить
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone - 15.02.2024 01:30

Kama ulitoa jina kwanini ulishusha pcha yako waongo nyieeee😅😅

Ответить
@muna1165
@muna1165 - 15.02.2024 11:34

HONGERA SANA JAIVA UNA KHEKIMA SANA BRO ❤❤❤❤

Ответить
@Psunboyy
@Psunboyy - 15.02.2024 11:45

Jaivah aah we iyo sauti unyama

Ответить
@OmanMuscat-l4o
@OmanMuscat-l4o - 15.02.2024 12:05

Dogo kashajulikanaaaa yule ndo kichwa kimekuwa kikubwa

Ответить
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial - 15.02.2024 13:59

jaiva ndo mchonganishiiiii

Ответить
@ChazJulias
@ChazJulias - 15.02.2024 14:54

Jamaa anajua kujieleza

Ответить
@kamariyaHashim
@kamariyaHashim - 15.02.2024 15:56

Yan ujui kuhus show hukuambiwa na jina ulitoa wewe emb achen chuki Za kipumbavu 😂😂

Ответить
@kamariyaHashim
@kamariyaHashim - 15.02.2024 15:56

Yan ujui kuhus show hukuambiwa na jina ulitoa wewe emb achen chuki Za kipumbavu 😂😂

Ответить
@famaqmaujanja
@famaqmaujanja - 16.02.2024 07:38

Fanyen kaz achen majungu
Chinno kaishataka Mashindano
Wap COMPATION sasa...

Ответить
@edwinmeenda9171
@edwinmeenda9171 - 16.02.2024 16:04

Jaivah 💯💯

Ответить
@NeemaHebuka-t4t
@NeemaHebuka-t4t - 16.02.2024 20:00

JAIVA❤

Ответить
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo - 17.02.2024 11:08

Ili sijui java mbona chino ndo alikutoa kwani malioo hakukuona au kakaako haba mbwa wew unajikuta unajua kumbe mziki wenyewe hujui mbwa wew uyo malioo mwenyewe amejulikana kwaajili chino kinachowaumiza ni maendeleo ya chino kisa kapanga gorofa na kamjengea mamaake na kununua magari mnatumia na malioo atachunwa na paura na kugombanishwa na kila mtu wew kaka muongo chino ndo kakutoa huna lolote. Acheni wivu wa maendeleo malioo alitaka chino atimie usafili wa boda tu na tax kisa kapata ananchukia alitumwa na mtu achunwe na Bado mbwa nyie na pia kisa chino Kawa karibu na mondi mnaumia acheni wivu

Ответить
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo - 17.02.2024 11:10

Chino kachoka mnayomfanyia Hamna lolote

Ответить
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 - 17.02.2024 14:02

Uyu kajichanganya , mnafik nimnafik tu na uyu jaiva nimmoja wao

Ответить
@dingicheed7950
@dingicheed7950 - 20.02.2024 12:47

Ahaaa chino

Ответить
@othmanwaziri783
@othmanwaziri783 - 25.02.2024 11:42

Oya namskia millad Ayo... 120%.. 😂

Ответить
@kiakae1819
@kiakae1819 - 26.02.2024 16:58

Jaivah he’s speaking the better truth this man he’s so intelligent while talking on this interview bless you man👊🏿❤️

Ответить
@deogratiusbruno
@deogratiusbruno - 03.03.2024 18:38

Daaaaa kweri ubinadamu nikaz lakini mbona fresh to tim baad bila chino mnaweza ma brothers pambaneni mungu yupo na nyinyi

Ответить
@johnmbungo1971
@johnmbungo1971 - 06.04.2024 04:58

I can see Chino not lasting long in the game because the little success he has ganerned has intoxicated him and no sooner than later is gonna get into abyss

Ответить
@fourseven1373
@fourseven1373 - 09.04.2024 02:20

Yaan hapo kuna vya ukwel na vya uongo hata chino kuna vitu vya uongo

Ответить
@PetroMsumba
@PetroMsumba - 30.06.2024 21:44

Jaivah bwana ebuuh achana na uyo dogo chino Kidd Yuko fresh bwn

Ответить