BIBI HARUSI AACHWA NJIA PANDA, MUME AOA MWANAMKE MWINGINE DK ZA MWISHO

BIBI HARUSI AACHWA NJIA PANDA, MUME AOA MWANAMKE MWINGINE DK ZA MWISHO

Mbengo Tv

10 дней назад

50,246 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@MayleenDonaldharris
@MayleenDonaldharris - 15.07.2024 13:20

Mimi cjamwelewa huyu dada kwanza muongeaji mno😜😝

Ответить
@WinWilly4162
@WinWilly4162 - 15.07.2024 13:34

Kajeuri lakini😂
Pole Mungu atakupa mwingine,umri bado mdogo mno hata kwenye kufikiri kanafikiri kwa udogo ndo maana kameishia njia panda

Ответить
@annanasoro3007
@annanasoro3007 - 15.07.2024 16:44

Piga moyo konde Mungu atakupa mume bora

Ответить
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija - 15.07.2024 17:50

Subhanallah sasa ndio anahojiwa ili iwe je Duh mtihani aibu 😮😮

Ответить
@JoyceSteven-tu2fi
@JoyceSteven-tu2fi - 15.07.2024 21:12

Ila huyo mwanaume alie kupa mimba jau san alikuwa hakupend kbs...mm angeniambia olewa tu haina shida ndo ingekuwa mwisho wa kuwasiliana nae

Ответить
@happinessmchome9101
@happinessmchome9101 - 16.07.2024 02:18

Sikuelewi jamani, nimejitaidi kusikiliza lkn namaliza tu bando langu.

Ответить
@nailahhemed7203
@nailahhemed7203 - 16.07.2024 04:37

Majibu ni hapa hapa duniani. Wewe uliingia kwenye NDOA kwa uhongo mkubwa na ukamkimbia mwenzio ulifikiria dunia itakuacha salama kweli?!.. Umevuna ulichopanda my dear. Mungu wa sasa hivi mkali sana. Tusiwatendee wengine mabaya tukifikiria mazuri yatakuja kwetu. Hayo ndio majibu ya mtihani ulioufanya my dear.

Ответить
@queenshomba8412
@queenshomba8412 - 16.07.2024 05:23

Anaeleza ujinga

Ответить
@AminaKassim-ni9wd
@AminaKassim-ni9wd - 16.07.2024 08:47

Shida ya wanawake atujitambui na ukiendekeza umalaya ndo shida alafu eti meanaume mwenye mapenzi ya kweli atakuluusu uolewe na mwanaume mwingine ata kwaali yyt ile atakabiliana na ww na angekuzuia ata kuolewa

Ответить
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 - 16.07.2024 12:16

Stori ya kupika hii😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

Ответить
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 - 16.07.2024 12:16

Muda si mrefu tutamuona mtandaoni hapa umaarufu unasakwa

Ответить
@user-wo8dx8qc2h
@user-wo8dx8qc2h - 16.07.2024 13:24

Ni2mie namba yako ya simu nikuoe mm

Ответить
@JohnHembweza
@JohnHembweza - 16.07.2024 14:00

Umezidisha tamaa

Ответить
@anenragnesmunis8490
@anenragnesmunis8490 - 16.07.2024 15:37

Yaan waswahili bwana kuwaza kuozesha tu mtt wangu umri wako ndio Kwanza asoma hata hawaz kuolewa

Ответить
@user-pb4pn4yu8y
@user-pb4pn4yu8y - 16.07.2024 21:11

Pole sana mdogo wng huyo mwanaume hakukupenda mwanaume anayekupenda kweli hawez kukurusu uolewe na mume mwingine tatizoletu ss wanawake tukipenda tunakuwa vipofu hata mtu hafai tunaona anafaa sababu tu moyo umependa pole kikubwa nikumuomba mwenyezimungu atupatie waume walio sahihi na na wenye hofu juu yake

Ответить
@user-fx6hp5wt4r
@user-fx6hp5wt4r - 17.07.2024 02:13

Likuwepukalo linakher nawe pole dada mim pia yalinitokea

Ответить
@user-dt3fv7gx2m
@user-dt3fv7gx2m - 17.07.2024 03:38

Mmh huyu ni muongo jamani stori yake haieleweki

Ответить
@user-mv7km8lt5j
@user-mv7km8lt5j - 17.07.2024 07:31

Pole ❤❤

Ответить
@hatiagk4447
@hatiagk4447 - 17.07.2024 07:41

Kuolewa unalazimishwa sielewi

Ответить
@NasibuKijuu
@NasibuKijuu - 17.07.2024 08:24

Pole san

Ответить
@user-hx7tr5iw8p
@user-hx7tr5iw8p - 17.07.2024 09:43

Huyu ni mcharuko kwa ufupi hivyo 😮

Ответить
@twahaanyoni9120
@twahaanyoni9120 - 17.07.2024 10:42

Tukiachana na huyo mwaume alie kuoa kwa Nn uolewe na mtuu mwengine alafu upo na mimba sio yake ungekuwa Wewe mwaume ungekubari mfyuuuu kabisa

Ответить
@user-ct7vm7bq9w
@user-ct7vm7bq9w - 17.07.2024 14:12

Kila likuepukalo la na kheri na wewe. Uslazimishe jambo mungu hajakutakia ipo khery yako mbele utapata

Ответить
@yunnuschambochambo9387
@yunnuschambochambo9387 - 18.07.2024 00:50

Kwani kinasimuliwa kitu gani hapa jamani aliyeelewa anieleweshe

Ответить
@SamuelMolell
@SamuelMolell - 18.07.2024 00:52

Pole sana dada tuko wengi mbona😂

Ответить
@mwatummselem2411
@mwatummselem2411 - 18.07.2024 10:26

Wewe kama hujakuwa basi kuwa uyaone tuliya kwenye masiliyano kiyume native utahangaika sana kwenye dowa

Ответить
@himanmwalwala7569
@himanmwalwala7569 - 18.07.2024 10:39

Kwani mtu mpaka sasa Kuna familia zinaoza Binti Kwa kijana bila kukubaliana na Binti anayetaka kumwoa

Ответить
@NazmaJuma
@NazmaJuma - 18.07.2024 18:44

Pole sana mamiy🎉🎉

Ответить
@aminabadi8663
@aminabadi8663 - 18.07.2024 20:26

Mungu atakupa wa kheri na ww lk mara ingine usikubali kunyamazia siri kama uliongea kwa fqmily yako hayo yasingetokea ukweli hua unakuokoa ima angelazimishwa huyo bwana alieka mimba akuowe ama akuhudumie hqtq ukiwa ama mume akikuowa anajua uko na mimba sio yake hapo ulikosea kuficha hawa wanaume tunakua nao lk niwatu wabaya sanaa kumi kwa mmoja akisha kukuharibia maisha kusimama nawe

Ответить
@aminabadi8663
@aminabadi8663 - 18.07.2024 20:31

Na kitu kingine hii ni zinaaa hukufaa kuja kuongelea hapq sasa hqpq nikama umejiqnika nq mimba yenyewe huna hii ilifaa ujinyamazie vyenye lishatokea usingeongea hapa kuna wenye huruma wanajua hii nimitihani iko wanasahau km nawao wko na wadada ama watoto wanatoa kilmaa kibaya kikakuzidishiq uchungu mtoto akikosea kumchapq sio suluhisho ila kumlekeza njia ilio sahii maneno mabaya hayqfai

Ответить
@samwelmigera7274
@samwelmigera7274 - 18.07.2024 22:06

Hakuna ridhiki Yako uyo tulia utapata wa kwako

Ответить
@JibrilBanga
@JibrilBanga - 19.07.2024 08:01

Hi❤❤

Ответить
@zr7808
@zr7808 - 19.07.2024 11:19

Nasiha kwa wadada wote musikuwe munaiminiya kila mtu na wala jistirini mwili wenu mupaka kupata rizki yako ya kuolewa

Ответить
@johanjoha5262
@johanjoha5262 - 19.07.2024 11:38

Uyo unakuwaga nimkosi akasafishe nyota yake tena

Ответить
@AliyyAli-ii1uz
@AliyyAli-ii1uz - 19.07.2024 11:54

Uyu ni mrangi

Ответить
@kennyjohn-ov7sn
@kennyjohn-ov7sn - 19.07.2024 12:40

Me naona wote hamkupendana?? Kwamana mgekuwa mnapendana wala huyo mchumba wako asingekubali wewe ukaolewe na mtu mwingine pia hata wewe usingekubali kuolewa na mtu mwingine tena ukiwa na mimba ya mtu ambaye unamjua vzr ungengangania kwenda naye huku aliko enda??

Ответить
@AishaHashimu-j4s
@AishaHashimu-j4s - 19.07.2024 13:06

Aliona aibu ndy maana alikubali kuolew maana sisi warangi kuzaa njee ya ndoa ni aibu sana

Ответить
@user-ef9rd6gd5w
@user-ef9rd6gd5w - 19.07.2024 18:32

Kwahy hyo mimba iko wapi

Ответить
@brendazayumba235
@brendazayumba235 - 19.07.2024 20:42

Km ni kweli mbona hamuwaojigi wanaume waliowak8mbia km sio mnapanga kipindi

Ответить
@LoyceAyoub
@LoyceAyoub - 19.07.2024 20:49

Daah jmn yamekukuta kama ya kwang daah!! Ina uma san jmn jmn

Ответить
@LoyceAyoub
@LoyceAyoub - 19.07.2024 20:52

Unge msikiliza huenda ana kitu Cha kuku ambiy ila kiukwel Ina uma san😭😭😭😢

Ответить
@user-kd2qj1sv9j
@user-kd2qj1sv9j - 19.07.2024 23:35

Pole san kipnz p❤❤❤

Ответить
@levinalyimo6240
@levinalyimo6240 - 20.07.2024 08:17

Acha uongo mtoto

Ответить
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t - 20.07.2024 09:54

Kwanza ukimfatilia vzr hyu bint co mzima hakuna mke hapa

Ответить
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t - 20.07.2024 10:03

Ulishatombwa hyo siku hotelin mbona husimulii

Ответить
@MaholeMinja
@MaholeMinja - 20.07.2024 13:25

Pole sana dada

Ответить
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o - 21.07.2024 07:39

Uyu Binti .kama yuko na tatizo hayupo sawa..unawezaje kuolewa na uko na mimba ya mtu mwingine whay usisuburi ujifungue kwanza then kama itatokea bahati ingine uolewe dada uko na kosa..

Ответить
@user-gj2mq5hp3s
@user-gj2mq5hp3s - 21.07.2024 08:36

Kwani nyie waadishi wa habari huwa manakosa watu wa kiwahoji jama tafuteni kunawatu wanashida sanaa ambao wanahitaji msaada wenu na watanzani kwa ujumula

Ответить