DR.SULE ATOBOA SIRI KUBWA HADHARANI  NA YA KUSHANGAZA DHIDI YA  MAYAHUDI  KUABUDU NG"OMBE

DR.SULE ATOBOA SIRI KUBWA HADHARANI NA YA KUSHANGAZA DHIDI YA MAYAHUDI KUABUDU NG"OMBE

Riyadh Tv Online Znz

2 года назад

56,418 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

@hamisabdalai1775
@hamisabdalai1775 - 04.09.2021 13:49

Asalam aley Kum.dr hizo ndio anga zako

Ответить
@hamisabdalai1775
@hamisabdalai1775 - 04.09.2021 13:50

Asalam aley Kum.dr hizo ndio anga zako

Ответить
@yasalaam590
@yasalaam590 - 09.09.2021 12:16

Waalaykumu ssalaam. Warahmatullahi wabarakatuh

Ответить
@yasalaam590
@yasalaam590 - 09.09.2021 13:06

Mashallah

Ответить
@warburgamin3573
@warburgamin3573 - 10.09.2021 06:26

Mashaallah, hii historia ya Masjid aqsa naona ni vema ukaitengenezea kitabu mwalimu.

Ответить
@nasmayasnihassan3840
@nasmayasnihassan3840 - 25.09.2021 16:33

Mashallah kana

Ответить
@omarsirleem7105
@omarsirleem7105 - 26.09.2021 13:18

MashaAllah

Ответить
@CaptainFaudhiTz5383
@CaptainFaudhiTz5383 - 15.10.2021 00:13

Daah

Ответить
@ruu6592
@ruu6592 - 03.11.2021 20:23

Waislam awapendani sikuizi tunanzaje kupigana nao tuanze kupendane kwanza

Ответить
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 - 12.02.2022 18:33

Jadilianeni na watu wa dini zilizotangulia alafu happyhapo unasema uislam. Ndio dini ya kwanza aliyokua nayo Adam huu ni wehu!!!

Ответить
@ignasmalema8354
@ignasmalema8354 - 30.07.2022 18:31

Beit maqdis. ni mali ya wayahudi, neno lenyewe ni la kiyahudi likimaanisha nyumba takatifu, waislam acheni, kuwafanyia fujo wayahudi taifa takatifu

Ответить
@Timon_travels_tours
@Timon_travels_tours - 09.08.2022 23:05

Asalaam'aleikum wahmatullah wabarakat
Mwenyew namba za dr sulle naomba anisaidie nashida nae

Ответить
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 - 06.09.2022 15:38

Waleikum salam Warahmatullaah

Ответить
@Aisha-qx7kz
@Aisha-qx7kz - 18.12.2022 13:49

MashaAllah doctr sule Allah akulinde na kukuhifadhi uendelee kutufunza dini yetu ilo ndzuri duniani.

Ответить
@zakayolazoro48
@zakayolazoro48 - 06.07.2023 00:26

Unaona ulivo yamboroga hapo kama mungu anmwambia muhamadi wajadiliane na dini zilizo watagulia Sasa hapo itakuwaje walikuwa waisiramu

Ответить
@user-gc2yw9es7k
@user-gc2yw9es7k - 17.07.2023 00:15

Mimi nina ombi nataka kupata dua yako nafikaje seemu usika maana sipajui. Naotwa Michael naishi Mikocheni A

Ответить
@Chris-in1vc
@Chris-in1vc - 29.07.2023 16:52

Rafiki Sule, mbona hujui historia yoyote halafu ATI wajiita Dr !. Hujui huo msikiti au helalu ( maqdis) ambalo unadai mtume wako Muhammad alienda Jerusalem kwa kutumia punda usiku, kua halikiwepo kopindi Cha mtume wako !?, Lilibomolewa tangu karne ya kwanza, usipende kuongea jambo bila kwenda shule, unadhalilisha usilamu na unafanya uonekane una watu mbumbumbu wakati una wasomi mpaka ulaya. Pili, palestina haikuwepo kopindi Cha Yesu wala Cha Musa, na kwa mujibu wa Allah wako ( unayemuabudu), kadhibitisha wazi kabisa kua Ile ni ardhi au ni Mali ya wayahidi ( soma Quran 5:21). Tatu, eheo Hilo unalodai ni palestina, lilivamiwa na kukaliwa na wafilisti, na baaadae ukawa kama mji, hadi hapo wakina Umar ibn khattab who alipovamia kwa upanga na kuusimisha uislamu, sasa ujue kua Ishmael na waarabu hawana uhusiano wowote, plse go back to school.

Ответить
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 - 04.08.2023 12:13

Mwenyezi mungu akitaka ametaka

Ответить
@user-wu5hu3dv7d
@user-wu5hu3dv7d - 05.08.2023 19:40

Mashaallah

Ответить