Комментарии:
Mchungaji anajuw ku nena maneno mazuri tu. Ubarikiwe pastor
ОтветитьUbarikiwe,nasikiza mahubiri nikiwa Mombasa Kenya
ОтветитьNakusikia kutoka Australia paster wangu❤
Ответить😮😮😮🎉🎉🎉🎉 nikweli
ОтветитьAmena amen
ОтветитьAmen asante Mungu akuinuwe kupitia kwa njili mchungaji, umenishibisha sana🎉🎉🎉🎉🎉
ОтветитьBarikiwa mchungaji.
ОтветитьNungu akujaliye pastor,nakusiliza kutoka Mozambique.
ОтветитьMungu akubariki zaidi pastor kwa neno lako muhumu kwa maisha yangu
ОтветитьBarikiwa mchungaji...
Ответить