Комментарии:
cox nakupenda 😂😂😂
ОтветитьAd laaa mboso cjamuona
ОтветитьBeka huwa hadanganyi Kwakweli ❤️❤️❤️🇰🇪
ОтветитьCoxdawayao😂😂
ОтветитьWewe unauhakika ni wa ndani ya ndoa?
ОтветитьMaskini Aslay anaona aibu anajikaza tu yatapita kaka sema usirudie tena mtindo mbaya mungu apendi muombe mungu akusame🙏🙏
ОтветитьJamn duli azeeki
ОтветитьJamani hadi rahaa mapenzi nyiee❤❤❤❤❤
ОтветитьSijui nafurahi nini alafu nalia nini MashaAllah 😢😢😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Ответить❤❤
ОтветитьMuaribifu kaitwa mbele
ОтветитьNilvomuona aslay nmekumbuka connection😂😂😂mange😂😂😂
ОтветитьMutoto wa gap
ОтветитьMuowane Sasa sio mnaleta watto wa nje ya ndoa tu watto wazinaha tz wamejaha miaka hii aisee ebu fanyeni nusurah hao wazazi wanaotaka mahari mirion kumi wakwende uko wanafanya ndoa isipte wakanti watto wamependana wanazid kuongeza famiri za nje ya ndoa ndio nn sasa
ОтветитьKaka duli sauti hadimu utaoa lini
ОтветитьJamn hii nyimbo Kali sana itoke tu🙌
ОтветитьWao nawapenda sana Mungu awaepushe na mabaya yote
ОтветитьAslay ndio wazee wabadae watakuwaga wahovyo navideo zao zangono
ОтветитьAslay kanenepa😂😂
ОтветитьAslay amefaanya nini
ОтветитьThis is hot be blessed BEKA🇹🇿
Ответить