#GOODLUCK GOZBERT AMEPEWA MERCEDES BENZ MPYA NA NABII MKUU DR. GEORDAVIE.

#GOODLUCK GOZBERT AMEPEWA MERCEDES BENZ MPYA NA NABII MKUU DR. GEORDAVIE.

IBM CHANNEL

2 года назад

1,042,766 Просмотров

Ссылки и html тэги не поддерживаются


Комментарии:

Bethuel Natembeya
Bethuel Natembeya - 14.10.2023 14:09

Mungu ni mwema

Ответить
Sifa Kamate
Sifa Kamate - 10.10.2023 05:00

Amen

Ответить
Mhoja Julius
Mhoja Julius - 05.10.2023 21:56

Nabii wa yesu hana tamaa na vitu vya kidunian i belief in jesus

Ответить
Elisha Mafulu
Elisha Mafulu - 05.10.2023 19:23

Naomba maobezi ya biashara yanga yaspare zamangari zikuwe famili yanga uchum afya nyumban watoto wangu shule tupate ada Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏 naomba nipate kibali kama cha baba baba

Ответить
Ngambilabalinzi Baligulukuhulila
Ngambilabalinzi Baligulukuhulila - 02.10.2023 12:10

Mtumishi Mbarikiwa 🙏

Ответить
Godfrey Isaac
Godfrey Isaac - 27.09.2023 16:28

Tuendelee kuutafuta uso wa Mungu atuonyeshe njia sahh ya kupita

Ответить
Happy Bilius
Happy Bilius - 23.09.2023 14:33

Nami naomba familia yangu ifunguliwe

Ответить
Rahel Erick
Rahel Erick - 22.09.2023 14:51

Na mm nakuja Mungu wangu mambo yenyewe ndio hayo uwiiiii

Ответить
Digna Meela
Digna Meela - 22.09.2023 14:48

Fremason hakuna chochote now nyimbo zake zinamsifu shetani

Ответить
tenga Gwanko
tenga Gwanko - 20.09.2023 23:12

Ubarikiwe kwa huduma by phone record nyumbigwa one

Ответить
tenga Gwanko
tenga Gwanko - 20.09.2023 23:10

Adiely

Ответить
Chiku Izenzele
Chiku Izenzele - 18.09.2023 16:22

Ameeen 🙏

Ответить
Priscah Nyanchama
Priscah Nyanchama - 14.09.2023 22:13

Glory to God❤

Ответить
NENO LA UZIMA
NENO LA UZIMA - 14.09.2023 06:09

Naaam...
Inapendeza sana

Ответить
Arex Isack
Arex Isack - 11.09.2023 23:35

Halafu wewe unaye wakosoa watumish usije kwenye people ya goodlaki ukakosowa utalaniwa

Ответить
Arex Isack
Arex Isack - 11.09.2023 23:32

Sapot me my brother

Ответить
Fatema Hajl
Fatema Hajl - 10.09.2023 19:24

Kampoteza tayari😢😢

Ответить
Tanfred Michael
Tanfred Michael - 08.09.2023 13:05

Ahimidiwe Mungu Baba anayetupa kushinda na zaidi ya kushinda, katika hayo tunapokea amani ya kweli.
Asante Kwa shuhuda hizi kutoka Gudluck Gozbert mwimbaji na Nabii mkuu 🙏🙏

Ответить
Oliver Nyange
Oliver Nyange - 06.09.2023 16:56

Nendeni mkauliwe vipaji kisa pesa

Ответить
Zawadi Ulambo
Zawadi Ulambo - 11.08.2023 22:19

Daa ukiamini neno la mungu ujuwe mungu atakuangalia TU hawezi kukuacha tu hivihivi Kam mm naomba mungu anijalie tu nipone hay magonjwa

Ответить
Martha Focus
Martha Focus - 03.08.2023 11:21

Mungu utusahehe

Ответить
Martha Focus
Martha Focus - 03.08.2023 11:20

Watu mnaabudu mwanadamu ama kweli mungu atusamehe

Ответить
Dieu est la Kavugho
Dieu est la Kavugho - 16.07.2023 00:50

Aksanti

Ответить
Anna Fisoo
Anna Fisoo - 27.06.2023 12:42

Amen

Ответить
Agness Raulent
Agness Raulent - 25.06.2023 23:15

.

Ответить
Moses George
Moses George - 19.06.2023 00:53

Ashukuliwe mungu kwayote anayotenda mungu amubaliki nabii kwakujitoa jaman wakati ukifika hakuna wakuzuuia baraka zatu

Ответить
Khadija Jacobo
Khadija Jacobo - 14.06.2023 17:23

Jmn Kuna ndoto niliota mtu ananielezea kua japo Kuna wimbi kubwa la manabii wa uongo lakini manabii wakweli wapo na Mungu amewatunza.

Ответить
Kemunto Ombui
Kemunto Ombui - 13.06.2023 11:42

Even me I love this man anaimba ukweli Mungu akubariki

Ответить
Nursepreneur Ann sharon
Nursepreneur Ann sharon - 06.06.2023 13:00

Joy comes in the morning😭😭... I am blessed and its not in vain to serve God, Goodluck God has remembered you and I partake in this favor from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

Ответить
Hope Nekesa
Hope Nekesa - 06.06.2023 07:50

God bless you

Ответить
Akimu Movie
Akimu Movie - 31.05.2023 16:33

🙏🙏🙏🙏

Ответить
jackline Fadhili
jackline Fadhili - 31.05.2023 13:43

Huyu nabii ni hatari sana, Mungu akubariki sana mzee

Ответить
Kimemori
Kimemori - 28.05.2023 19:38

Dah , uyu gozbet toka ameanza kuimba sijawai ona sura ya utukufu mbele za Mungu ,mapoz yake ya kike kwenye nyimbo zake,nikajua huyu hayupo kweli

Ответить
kalekye tv
kalekye tv - 27.05.2023 02:57

Ulimi n kalamu ....nakumbuka kwa video moja yke alirudi nyumbani na baraka za gari na kazi

Ответить
Roselyn Mkata
Roselyn Mkata - 23.05.2023 11:08

Wanadamu bhana...akija anae toa magari na zawadii...wanasema hii ni mitego , akija anaesema ili akuombee peleka sadaka wanasema huyu ni njaa na pesa ndio imemleta....mnataka nn, kikubwa akikisha unachokituhumu ni roho wa Mungu kakuambia laa sivyo utakuja utukane walio wa Mungu kwa ujinga wako.

Ответить
Midumbi Ojijo
Midumbi Ojijo - 21.05.2023 23:46

Kuna ndugu yangu, amesali hapo miaka 13 sasa, hana hata uwezo wa kulipa chumba anayoishi, anaishi kwa tabu, kwann hizo zawadi zinakwenda kwa watu maalum tu kuna kitu nyuma ya pazia

Ответить
Ken Murithi
Ken Murithi - 17.05.2023 10:27

Pia yangu itajibiwa in jesus name

Ответить
Hezron Ayiaga
Hezron Ayiaga - 13.05.2023 11:58

God is good all time

Ответить
Joyce Jackson
Joyce Jackson - 12.05.2023 22:34

Godluck kuwa mskini sana na hawa wahubiri hakunaga vya bureee broo

Ответить
Joyce Jackson
Joyce Jackson - 12.05.2023 22:33

huyu nabii target lake ni kuharibu kazi ya Mungu kwa kukamata vijana yaan nguvukazi!!
na kuwapeleka kwenye ufalme wa kishetani! wahitaji wapo wengi sana!!
soma maandiko vzr unafanya haya ili uonekane na watu, umekwisha hesabiwa haki yako mbinguni maana umekuwa mnafiki,!
sawa na mtu anaefunga halafu anajilegeza kwa njaa ili aonekane na watu hakika huyu mtu atakuwa ameshinda na njaa tu na dhambi juu

Ответить
Joyce Jackson
Joyce Jackson - 12.05.2023 22:23

wewe saidzein kama uislam ndio mpango wa Mungu kaa huko!'na utende mema yakufikishe mbinguni au na uendelee kuchinja watu ili uingie mbinguni kazi kuhukumu tu!! chuki mbaya!!!!
ukristo unakuhusu nini?????????

Ответить
Lorin Lorin
Lorin Lorin - 08.05.2023 11:00

Nabiii barikiwa kabisaaa

Ответить
josemaxwell Thee actor
josemaxwell Thee actor - 06.05.2023 15:37

Mtumishi wa mungu nitamkie baraka maishani mwangu naomba nimendika wimbo lakini Sina mbele wala nyuma our family hawana anything kindly nitamkie baraka

Ответить
Esther Francis
Esther Francis - 06.05.2023 10:23

nime falijika sana kaz ya wimbo zako kat ya moja wapo naona ume jibiwa leo bila kutegemea mungu ni mwema

Ответить
Cizungu Lawi
Cizungu Lawi - 05.05.2023 04:13

Watu kama.huyu Nabii, we neep the servant of God like you into my own town BUKAVU

Ответить
Robby General🇰🇪
Robby General🇰🇪 - 02.05.2023 20:00

God is good all time...❤

Ответить
Maman Billy
Maman Billy - 01.05.2023 11:25

Hakuna machozi asio jibiwa ❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮Mungu nimwema....

Ответить